Sehemu za kufanyia kazi kwa ajili ya experience(internship)

Alemechs

Member
Sep 10, 2021
10
10
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa sana nikifaham majina ya hizo sehemu pamoja na mkoa husika yaan mkoa wowote ule, iwe kiwandani au hata taasisi yoyote ile hata kama sido ntafurahi pia nikipata mawasiliano ya hizo sehemu hata emails. Naombeni msaada wakuu kwa hilo jambo.
 
Kama upo Dar ukienda pale TATA ukamtumikie muhindi itakuwa poa zaidi
Jitahidi upate uzoefu wa mwaka mmoja then uanze kuskilizia sehemu kama tpa tbs na Tpdc
 
Back
Top Bottom