Msaada wa sehemu za kupata kazi(experience)

Alemechs

Member
Sep 10, 2021
10
10
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa sana nikifaham majina ya hizo sehemu pamoja na mkoa husika yaan mkoa wowote ule, iwe kiwandani workshops za MAGARI au hata taasisi yoyote ile hata kama sido ntafurahi pia nikipata mawasiliano ya hizo sehemu hata emails, naombeni msaada wakuu kwa hilo jambo,
 
Mkuu unatuangusha! kuna jamaa yangu mmoja kipindi cha magu maisha yalimchapa kinyama nyama biashara zake zilifeli ile buku ikawa shida ili familia isife njaa akaona akajisalimishe gereji.

Leo fundi mzuri tuu tena anatengeneza European car Audi, Volvo, Benz, BMW, Ford Ranger, Landrover na mengineyo. So usivunge magaraje yamejaa kibao omba tu kibarua usitangulize maslahi jitolee Mkuu utafanikiwa kupata zaidi ya uzoefu unaohitaji .
 
Nashukuru kiongozi vyote vitakavyoletwa hapa ntavifanyia kazi asante sana
 
Upo mkoa gani anzia garage yeyote mtaani jitoe jitume Sana Tuliza kichwa elewa Kwasababu fundi magari ni kazi ngumu Sana unaweza kwenda hata kampuni na kuomba uwe fundi saidizi piga kazi ujue weka pembeni Tamaa za posho
 
TOYOTA TANZANIA ANA MATAWI NCHI NZIMA

TATA TANZANIA ANA MATAWI NCHI NZIMA

SCANIA NAYE HIVYOHIVYO

NENDA HUKO KAJITOLEEE
 
Back
Top Bottom