K-wire
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 278
- 289
Wakuu Habari za mishale hii,
Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni dereva wa Marilu yuko njiani na amechoka balaa. Anahitaji kufika hapa town apate huduma Hiyo.
Naomba kiwasilisha