Barber shop zenye huduma ya massage temeke

Barber shop zenye huduma ya massage temeke

K-wire

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
278
Reaction score
289
Wakuu Habari za mishale hii,
Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni dereva wa Maroli yuko njiani na amechoka balaa. Anahitaji kufika hapa town apate huduma Hiyo.
Naomba kiwasilisha
 
Temeke sehem gani?, pale keko kuna saloon ina huduma iyo,
 
Temeke hapa sudan bona ipo kama anatokea temeke mwisho sudani kushoto barabara ya tandika kuna gm na kila kitu
 
Jina nimesahau ila ukifika hapo kana sudani tu bank NB mbele tu Barbara ya tandika utaona gorofa moja la vioo gm na hiya saloni
 
Nenda pale Serengeti kituo cha kuja kariakoo,pembeni utaona kibao kwenye kona ya kiwanda fuata maelekezo.NB😡 YOUR OWN RISK
 
Back
Top Bottom