Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Clouds Wana gundu Sana na Moto nakumbuka kitega uchumi iliungua vizuri
 
msikazanie grace tu,mkumbuke hawa matajiri huwaga wanapiga dili na makampuni ya Bima waliko insure mali zao!
 
We have never known this (such) kind of 'violence' in all past regimes....... something's fishy here.
 
Aiseeee what bthe hell is going on, mbona wanawafanyia hivyo na jamaa wanajiandaa na Fiesta Jmoc?


Huku wanaambiwa musa wasizidishe Saaa Site Ucku, mara wale watakaokuwa wanauliza vitu mule ndani lazima wawe na Mashine za EFD,

Kweli huyu Mungu yupo ma ataonesha uwepo wake
 
Jengo la clouds linawaka moto mitaa ya mikocheni tuwape pole wakuu hata kiroho ngumu
 
Back
Top Bottom