Ebwana tuwasiliane kwa maongezi zaidi :wink2::wink2:
Maria mi nakuogopa we inaonesha ni mtaalam sana lol!:fear:
Ebwana tuwasiliane kwa maongezi zaidi :wink2::wink2:
unataka ukapractce leo???
wana jf wenzangu naomba mnisaidie, ni sehemu gani ya mwili mwanaume akishikwa anakwisha habari yake?
Kucha na nywele.....kwisha habari yetu!!
nimekupata and i fall in love with this book
cwezi kumuuliza itaondoa radha nataka nimfanyie suprisesidhani kama umepata jibu la maana, mara ugoko, mara sharafa, mataka, mmmhhhh pole utachanganyikiwa. Muulize anapenda kushikwa wapi PERIOD
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie, ni sehemu gani ya mwili mwanaume akishikwa anakwisha habari yake?
Asanteni sana kwa michango hasa St paka mweusi, babaubaya, pdidy ......... kuna mbinu mpya nimezisikia hapa, ntaenda kuzifanyia kazi
Bila shaka nahsi kama nimepotea jukwaa hebu nisaidieni jukwaa la mambo ya dini lipo pande zipi?