Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Nina miaka mi4 sasa toka nianze kukaa Singida kwa story za mtaan pale kulikuwa na UHUNI wakila aina
Nasikia kulikuwa kwa wahuni na wababe wote.
Kwa sasa wanapaita 24 ila pamepooza sana kuelekea kufa kabis ani sawa na sky way kule stand Mpya nako sifa zilikuwa nyingi sana siku nimefika pahovyo snaa
Ndio kwetu huko mkuu
Vunja mifupa mkuu. Ila kuwa makini zamani bogi la mama Salma lilikuwa limemwagwa uhasibu.
 
Nasikia kulikuwa kwa wahuni na wababe wote.

Ndio kwetu huko mkuu

Vunja mifupa mkuu. Ila kuwa makini zamani bogi la mama Salma lilikuwa limemwagwa uhasibu.
Uhasibu ndio Mitaa yangu sasa Mkabala na Chuo Cha Utumishi wamekihamishia Kule Kimpungua wamejenga majengo yao hapa kwasasa wanatumia chuo cha Maji Kampasi ya Singida kwabahati mbaya sana huwa sinaga mzuka na wanafunzi japo wanashawishi sana na kwasasa wamefunga pamepooza
Home ni wapi Kibaoni kwa WAHUNi
Karakana
Muhawa
Mungumaji
Minga
Mwenge
DR Salmin
Majengo
Au huku kijijini kwetu Unyinga, Unyakumi, Unyankahe, mandewa

Au ndio wa Unyamikumbi Siuyu Makiungu!?
 
Home kijijini huko kwa Nyalandu ndani ndani.

Hivi mbalamwezi ni wapi?
 
Home kijijini huko kwa Nyalandu ndani ndani.

Hivi mbalamwezi ni wapi?
Kama unaenda Mtipa sijui unapajua, Ukitoka Kambi ya FFU Singida kwa mbele sasa ndio hapo wamedesign vizuri japo padogo ila panavutia weekend huwa pazuri sana
 
Uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…