1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc
Kati ya hizo na nyinginezo nyingi je ni wapi sahihi?

Any Reasons?Mkuu hii nayo "included"?
Nadhani ukipata mchumba msibani na mkabahatika kuoana hiyo ndioa haiwezi kudumu!
kweli, tena inategemeana na jinsi mtakavyojiweka nyie wenyewe...mchumba anapatikana popote pale