Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Baa!
Ur right! Nilikutana na Mzenj tukiwa chakali wote jina la bar sikumbuki
Baa!
mchumba anapatikana popote pale
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc
Kati ya hizo na nyinginezo nyingi je ni wapi sahihi?
Quote:
SHINDWA!! mm sio bwana wako.
.
wewe Nguli una nini jemeni? Shostito unajisheua!! nikikunasa hutotoka anga zangu....
Quote:
SHINDWA!! mm sio bwana wako.
.
wewe Nguli una nini jemeni? Shostito unajisheua!! nikikunasa hutotoka anga zangu....
Daa Ukimmuliza Spika wa Bunge atakwambia Skuli,maana mambo ya Tabora school watu wengi tumeoana toka pale!!!hahhaha!!
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
....