Sehemu Gani hapa Dar weekend wanaonesha cinema??

Mlimani City Century Cinemax, Aura Mall na DFM Century Cinemax pia wapo.
Screenshot_20250408-211736.png

Kila jumatatu elfu 6 na kila Alhamis elfu 5 tu, siku zingine zote ni elfu 9 au 12.

Movies zinaanza saa 7 mchana na ya mwisho i aisha saa 6 usiku, kila siku.

Usiende movie za animation mchana, wanajaa watoto wadogo ni kerooo kama haukai mbali ingia ya saa 4 inayoisha saa 6.
 
Mlimani City Century Cinemax, Aura Mall na DFM Century Cinemax pia wapo.
View attachment 3297153
Kila jumatatu elfu 6 na kila Alhamis elfu 5 tu, siku zingine zote ni elfu 9 au 12.

Movies zinaanza saa 7 mchana na ya mwisho i aisha saa 6 usiku, kila siku.

Usiende movie za animation mchana, wanajaa watoto wadogo ni kerooo kama haukai mbali ingia ya saa 4 inayoisha saa 6.
Shukrani sana mkuu umenipa muongozo mzuri sana. Mimi nipo kigamboni ipi rahisi sana kwangu?? I mean location vastness
 
Kigamboni njoo ya Aura Mall ambayo sasa inaitwa Vijana Mall (hapa pembeni ya DIT). Kwahiyo wewe ni pantoni moja na Mwendokasi moja hadi hapa DIT. Unatembea mita 50 tu upo Movie.
Screenshot_20250408-212936.png
 
Back
Top Bottom