๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

Hili la ziwa Natron pamoja na uzee wangu huu nikiri kwamba ndio kwanza nalisikialeo kutoka kwa mleta mada.

Nashawishika kuamini hii habari ni CHAI kabisa tena kutoka Mufindi.
 
Hili la ziwa Natron pamoja na uzee wangu huu nikiri kwamba ndio kwanza nalisikialeo kutoka kwa mleta mada.

Nashawishika kuamini hii habari ni CHAI kabisa tena kutoka Mufindi.
Ziwa lipo kweli sema hapo anaposema ukilitembelea unakufa ndipo katupikia chai bila sukari ๐Ÿ˜Š
 
View attachment 3429829

Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile.

Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena.

๐Ÿš€ Ziwa Natroni Tanzania
Hii ni Ziwa jekundu linapatikana Tanzania ambapo ndege hubadilika na kuwa mawe wanapogusa maji hayo yenye rangi nyekundu, Chochote kinachokusa hayo maji kinakufa papo hapo akirudi hata ndege wakigusa ugeuka mawe na kufa hapo hapo.

View attachment 3429835

๐Ÿš€ Msitu wa AOKIGAHARA
Huu ni Msitu unajulikana kama Msitu wa kujiua , huu ni Msitu mkubwa halafu mkimya sana watu wengi wanapotembelea hapo hujikuta wanajiua bila Sababu. Kuna mamia ya watu wameshapotea uhai kwa kujiua (compasses spin).

View attachment 3429838

๐Ÿš€ Eneo la kifo kwenye mlima wa Everest
Kuna eneo kwenye mlima wa Everest unaitwa eneo la kifo ni zaidi ya miita 8000 ambapo huko Hewa ya Oxygen hutoweka kabisa hivyo watu wengi wanaopanda mlima wakifika eneo Hilo wanagandishwa na hawarudishwi chini mpaka leo hii.

View attachment 3429839

๐Ÿš€ Kisiwa cha Nyoka Brazil
Kuna eneo moja kwenye Kisiwa kinaitwa Snake island ๐Ÿ๏ธ Kuna nyoka zaidi ya Elfu moja pia ni sehemu yenye madini ya dhahabu lakini mpaka huje kuyapata basi huwezi kurudo hai kwani Kuna nyoka wenye sumu Kali yani ukitembea ndani ya sekunde kadhaa lazima ukutane na nyoka.

View attachment 3429841

๐Ÿš€ Eneo ambalo mawe yanatembea Yenyewe
Kuna sehemu Marekani inaitwa death valley racetrack playa ambapo mawe makubwa huwa yanatembea Yenyewe lakini hakuna mtu anayeweza kuyaona yakitembea unakuta limeshasogea wanaokwenda kuchunguza hakuna aliyerudi.

View attachment 3429843

View attachment 3429846
๐Ÿš€ Barmuda triangle ya Transylvania
Kuna Msitu unaitwa HOIA BACIU FOREST inapatikana Romania , wenyeji Wana ripoti kuwa kwenye huo msitu watu hupotea na kutoweka ukingia ukitaka kutoka basi huwezi kuona vizuri na hata kama ukiona njia Miti inajiponda ponda na kujikunja hivyo watu wengi wanapotea wakinigia humo.
Ingawa ni mazingira magumu, flamingo wa miguu mirefu hupenda kuzaa katika Ziwa Natron. Hii ni kwa sababu:

Hakuna wanyama wengi wanaoweza kuwafuata kwa sababu ya maji yenye kemikali kali.

Kuna mwani maalum wanaokula.

Pia kuna viumbe kama samaki wa aina ya Alcolapia waliobadilika kuishi kwenye maji hayo.
 
Back
Top Bottom