๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
1_20250803_015914_0000.png


Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile.

Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena.

๐Ÿš€ Ziwa Natroni Tanzania
Hii ni Ziwa jekundu linapatikana Tanzania ambapo ndege hubadilika na kuwa mawe wanapogusa maji hayo yenye rangi nyekundu, Chochote kinachokusa hayo maji kinakufa papo hapo akirudi hata ndege wakigusa ugeuka mawe na kufa hapo hapo.

FB_IMG_1754234248155.jpg


๐Ÿš€ Msitu wa AOKIGAHARA
Huu ni Msitu unajulikana kama Msitu wa kujiua , huu ni Msitu mkubwa halafu mkimya sana watu wengi wanapotembelea hapo hujikuta wanajiua bila Sababu. Kuna mamia ya watu wameshapotea uhai kwa kujiua (compasses spin).

FB_IMG_1754234252828.jpg


๐Ÿš€ Eneo la kifo kwenye mlima wa Everest
Kuna eneo kwenye mlima wa Everest unaitwa eneo la kifo ni zaidi ya miita 8000 ambapo huko Hewa ya Oxygen hutoweka kabisa hivyo watu wengi wanaopanda mlima wakifika eneo Hilo wanagandishwa na hawarudishwi chini mpaka leo hii.

FB_IMG_1754234250625.jpg


๐Ÿš€ Kisiwa cha Nyoka Brazil
Kuna eneo moja kwenye Kisiwa kinaitwa Snake island ๐Ÿ๏ธ Kuna nyoka zaidi ya Elfu moja pia ni sehemu yenye madini ya dhahabu lakini mpaka huje kuyapata basi huwezi kurudo hai kwani Kuna nyoka wenye sumu Kali yani ukitembea ndani ya sekunde kadhaa lazima ukutane na nyoka.

FB_IMG_1754234257407.jpg


๐Ÿš€ Eneo ambalo mawe yanatembea Yenyewe
Kuna sehemu Marekani inaitwa death valley racetrack playa ambapo mawe makubwa huwa yanatembea Yenyewe lakini hakuna mtu anayeweza kuyaona yakitembea unakuta limeshasogea wanaokwenda kuchunguza hakuna aliyerudi.

FB_IMG_1754234255009.jpg


FB_IMG_1754234259722.jpg

๐Ÿš€ Barmuda triangle ya Transylvania
Kuna Msitu unaitwa HOIA BACIU FOREST inapatikana Romania , wenyeji Wana ripoti kuwa kwenye huo msitu watu hupotea na kutoweka ukingia ukitaka kutoka basi huwezi kuona vizuri na hata kama ukiona njia Miti inajiponda ponda na kujikunja hivyo watu wengi wanapotea wakinigia humo.
 

Attachments

  • FB_IMG_1754234252828.jpg
    FB_IMG_1754234252828.jpg
    136.4 KB · Views: 27

Similar Discussions

Back
Top Bottom