Seeking for advise

Annalito

Member
Sep 2, 2018
44
12
Naombeni ushauri. Nlipigiwa simu na chuo cha sauti kuwa wamenichagua lakini kwenye list ya majina lakwangu halimo. Nlipowauliza wakanijibu kuwa kama chuo husika kimekupigia simu basi umechaguliwa. Jina langu kutokuwepo kwenye list linaleta utata kwa wazazi nifanyeje? Kweli naweza kuwa admitted bila jina kuwa kwenye list?
 
Pole sana, Kama uko karibu na chuo unaweza kwenda
 
Mimi nipo huku dar yani nachanganyikiwa maana xjapata chuo zaidi ya hiki kilichonipigia simu yani
 
Naombeni ushauri. Nlipigiwa simu na chuo cha sauti kuwa wamenichagua lakini kwenye list ya majina lakwangu halimo. Nlipowauliza wakanijibu kuwa kama chuo husika kimekupigia simu basi umechaguliwa. Jina langu kutokuwepo kwenye list linaleta utata kwa wazazi nifanyeje? Kweli naweza kuwa admitted bila jina kuwa kwenye list?
Rafiki yangu alichaguliwa multiple selection round ya kwanza jina lake halikutokea TCU wala kwenye list ya vyuo hivyo viwili alivyochaguliwa , lakini alipokea sms kwamba amechaguliwa , kutoka vyuo viwili hivyo,pia profile zake zikaonesha kwamba amekua selected , akafanya confirmation chuo kimojawapo ameshapata mpaka registration number na admission letter , pia baadae kile chuo kimoja ambacho hakukichagua kikatoa majina kwamba yeye hakufanya confirmation hapo maana yake amekwenda chuo kingine , so usiogope issue hiyo haipo kwako peke yako.
 
Unajua nin tatizo ni wazazi wangu wagumu sana kuelewa yan. Mpaka sasa wanataka nika apply diploma wakati uwezo wa degree upo jaman .
 
Wazazi lazima wapate wasiwasi kuna sister yangu amekosa chuo , nyumbani kwao wote wamepata homa , mama yake ndio kabisa hana raha , anafanya mpango arudi kusoma diploma yeye hajakata tamaa tatizo linalomnyima raha ni kuona mama yake anaingia gharama za kumlipia ada maana anataka asome kozi za afya ambazo ada ni kubwa sana.
 
Daaah! aisee! Kuna mtu kanipa namba hapa na nmewapigia tena wameniambia kuwa kama kuna ujumbe nlipokea basi nisubiri na ni kweli ujumbe nlipokea . Wameniambia siko peke yangu kwenye hili tatizo. Mimi naweza kuelewa ila wazazi sasa ndo kimbembe
 
Hata hivyo usiwe na wasi na wazazi wataelewa tu maana lazima wakutumie admission letter ambayo imeambatana na fomu nyinginezo km; medical form. so wazazi wataona wiki ijayo zinaanza kutumwa ingawa vyuo vingi wameshaanza kutuma.
 
Unajua nin tatizo ni wazazi wangu wagumu sana kuelewa yan. Mpaka sasa wanataka nika apply diploma wakati uwezo wa degree upo jaman .
hapo chuo umeshapata kuwa na amani fanya mawasiliano jinsi ya kupata admission number na form nyinginezo za usajili basi
 
kuwa nasubira na uombe Mungu yawe kama unavyotegemea. na ukienda chuo usome uachane na mambo ya instagram kila dakika kupost picha.
 
Kwanin unijibu hvyo cheusi mangala? Atimes use wisdom me nimeomba ushauri tu na nimepewa hopes by the way am not a fun of instagram nor any other social networks. Na kama nlikufollow insta just unfollow
 
Naombeni ushauri. Nlipigiwa simu na chuo cha sauti kuwa wamenichagua lakini kwenye list ya majina lakwangu halimo. Nlipowauliza wakanijibu kuwa kama chuo husika kimekupigia simu basi umechaguliwa. Jina langu kutokuwepo kwenye list linaleta utata kwa wazazi nifanyeje? Kweli naweza kuwa admitted bila jina kuwa kwenye list?
Hongera sana hapoo chuo umeshapata ingia in ur account ujuwe wamekujibu nini ppia uwe unaawasiliana nao jiandae kwa kuripot chuo na mengineo
 
Back
Top Bottom