Hongera sana hapoo chuo umeshapata ingia in ur account ujuwe wamekujibu nini ppia uwe unaawasiliana nao jiandae kwa kuripot chuo na mengineoNaombeni ushauri. Nlipigiwa simu na chuo cha sauti kuwa wamenichagua lakini kwenye list ya majina lakwangu halimo. Nlipowauliza wakanijibu kuwa kama chuo husika kimekupigia simu basi umechaguliwa. Jina langu kutokuwepo kwenye list linaleta utata kwa wazazi nifanyeje? Kweli naweza kuwa admitted bila jina kuwa kwenye list?