ni mke wa mtu source yeye mwenyewe! nashangaa mke wa mtu unakubali romantic offers kama hizi jamani! mkunde real umenidissapoint ujue!
Mkunde Original wa Sambarai barabara ya simu?
unaikumbuka vizur pcha (pasipoti) uliyoambatanisha na maombi ya kazi???
Mkumbushe kuwa 'hata ya kaka hainaga mabega'
Na zile swaga zako za kufanya mazoezi ya kukata tumbo ila wowowo ibaki,ndo alipo nasia hapo huyo kaka wa ofisini
aya bwana ! ila nimeumiaje cause nawajua hawa mabazazi ! itakula kwako dear hutoamini
sasa unahangaika nini if you dont love him?
duuh hata mbuyu ulianza kama mchicha,mchekee tu uje kuharibu ndoa yako.muhurumie mumeo yaani nilivyosoma post yako nimepata hasira balaa nikajiona mm ndiye mumeo uliyeniaga unaenda kazin kumbe umetolewa offer na mchizi mwingine.ukija kuachwa utamlaumu mumeo?? umepata bahati ya kuolewa jiheshimu wengi wanaillia hyo chance.nataman ningekuwa mumeo then nasoma hii post yako au namjua mumeo ningemwambia aiseee
Mkunde original uko peace sana na mimi nitakuletea DILDO usimaind halafu!!
Hana lolote huyo ma dear......huenda yeye ndo kitombi cha hyo ofc na amewagonga wengi.Sasa wanataka na ww utumbukie kwenye aibu hiyo.....mwambie akuheshimu kama dada yake aliyepotea that's all
....Mimi nasema wanawake wa kitanzania ni washamba sana....hivi una mume au mchumba wako unakaa una-enertain mambo ya kwenye movie eti maua, chocolet....hayo maisha na mme wako mchumba wako unayafikiria saa ngapi.......namuombaga mungu aniepushe wanawake WASHAMBA wenye AKILI ZA KITOTO NAMNA HII..Usikimbilie kum judge Smile. Being married does not mean you are no longer attractive. What matters is how you deal with these advances from the opposite sex.
Mimi nasema wanawake wa kitanzania ni washamba sana....hivi una mume au mchumba wako unakaa una-enertain mambo ya kwenye movie eti maua, chocolet....hayo maisha na mme wako mchumba wako unayafikiria saa ngapi.......namuombaga mungu aniepushe wanawake WASHAMBA wenye AKILI ZA KITOTO NAMNA HII.....aonywaye mara nying akishupaza shngo huvunjika... Smile ashasema yote.
...sio weak mweleze mwenzenu ukweli ukisoma post yake ....ni kama yupo empty kama yupo kwenye ndoa labda kaingia kwa bahati mbaya bado anasakanya mapenzi na upendo nje....na ule ushamba ushamba wa mjini na wanaume....na hiyo office ya kupeana chocolet na mauwa...kazi zinafanyika kweli...?Halafu mkude original nimegundua upo weak sana linanapokuja suala la kupetiwa petiwa
Good!! But if this is your stance...why did you bring it here?
...what problem with u....upo sawa kweli...?unatatizo lolote kwenye ndoa linakusumbua.....upo kwenye ndoa unaongea kama immature collage girl....kuwa na pete na kuongea kwenye simu unaona ni kinga...?anafahamu maana nina pete kidoleni tena kubwaaa na mara nyingi huwa naongea na hubby in love tone akiwepo so he knows.
I know that am married and I have a kid at home. What am keen of is to make sure that I dont fall between the trap, I understand ur worries mamie
I bring it here to release my heart with the whole issue sikutaka kuiweka rohoni nikajaota usiku kwanguvu ikawa tabu. Wajua sie wanawake huwa tunakawaida ya kuhadithia vitu volivotokea siku nzima au mwezi mzima. Sasa mie nimekosa wa kymsimulia maana siku hizi mashosti hawana hata siri, unamwanvia shosti wako analirusha kwa mashosti wote wakati huku hureee