Hiyo ni mbinu ya kukutongoza, inaitwa indirect seduction method, unaweza kukutana na msichana mzuri halafu ukajawa na hofu ya kumtongoza moja kwa moja, unachotakiwa kukifanya hapo ni kujifanya unashangaa "my God wewe dada mbona unafanana sana marehemu mchumba wangu, yaani mnafanya utafikiri mapacha, kukuona tu umenifanya moyo kwenda mbio sana maana nilikuwa nampenda sana mke wangu na anafanana na wewe kila kitu, sikutegemea kama nitakuja kukutana na mwanamke mwingine anayefanana na aliyekuwa mchumba wangu, tafadhari sana dada nakuomba sana tukae sehemu japo kwa muda mchache tu nikueleze kwa kifupi sana inawezekana ni ndugu yako". Basi hapo unaendelea na mambo mengine na hatimaye mwisho wa siku unaopoa kifaa kwa ulaini, chezea wanaume sisi wewe