Mama chuma
Member
- Sep 29, 2011
- 37
- 7
Yaani unafamilia unadanganywa kama mtoto,hizo roses chocolate za nini,hapo ungempiga stop au usingepokea nakuanza kugawa,kwa kufanya hivyo umekubali zawadi na ndio maana akawa na nguvu ya kutaka mkale lunch,then kwa nini ulikubali kwenda nae lunch ungekataa kingeharibika kitu,jilinde na ujiheshimu kwani umesema sio type yako ina maana angekua na vitu flan flan unavyovitaka ungeisaliti ndoa?usiangalie pete kama kigezo angalia nafsi na matendo yako kama mama wa familia,ni hayo tu.