Secret lover huyu mmhh!!

Secret lover huyu mmhh!!

ni mke wa mtu source yeye mwenyewe! nashangaa mke wa mtu unakubali romantic offers kama hizi jamani! mkunde real umenidissapoint ujue!

Don't be disappointed....maisha ya MMU ni kama tamthiliya za kimagharibi 90% ya habari za hapa ni fekero
 
unaikumbuka vizur pcha (pasipoti) uliyoambatanisha na maombi ya kazi???

Naikumbuka hii picha ya passportsize sijawah piga picha ya namna hiyo, ni sura tuu ndo tumefanana ndo kinachonishangaza labda duniani wawili wawili.
 
Na zile swaga zako za kufanya mazoezi ya kukata tumbo ila wowowo ibaki,ndo alipo nasia hapo huyo kaka wa ofisini

Ha ha ha haaaaa jamani usiseme hivo, kwa hiyo nisifanye mazoezi nibaki na shape vululuvululu kama foronya kisa nitapwndwa? Mie nafanya mazoezi kwa afya yangu
 
sasa unahangaika nini if you dont love him?

Sihangaiki, before kwenda nae lunch sikuwa namfahamy ndo mana nimeita secret lover baada ya kumfahamu ndo nimegundua sina issue nae, nimelileta hapa jutua mzigo moyoni maana si story zote za kymsimulia shoste au hubby. Wakati nasoma sekondary kulikuwa na mchezo unaitwa secret lover, unampelekea mtu zawadi kisirisiri for about one to two months kisha siku ya open lovers mnatamvuana na kywa marafiki
 
Mtu anafanana na Dada yako then Unampenda kwa Mapochopocho ya Ndoano ya kunasia Samaki!
 
duuh hata mbuyu ulianza kama mchicha,mchekee tu uje kuharibu ndoa yako.muhurumie mumeo yaani nilivyosoma post yako nimepata hasira balaa nikajiona mm ndiye mumeo uliyeniaga unaenda kazin kumbe umetolewa offer na mchizi mwingine.ukija kuachwa utamlaumu mumeo?? umepata bahati ya kuolewa jiheshimu wengi wanaillia hyo chance.nataman ningekuwa mumeo then nasoma hii post yako au namjua mumeo ningemwambia aiseee

Hahahaa
ww binamutz
 
Mkunde original uko peace sana na mimi nitakuletea DILDO usimaind halafu!!

Sijawahi kutukana humu jukwaabi ila nathubutu kukwambia shika adabu yako, didlo ya nini na mie nina mume? Kama wewe ni mwanaume mifanyio chako kimekufa hata utafute dildo? Na kama wewe ni mwanamke una mashine ya kusaga na kukoboa? Jihudumie mwenyewe sihitaji service yako. Nimeridhika na nilichonacho
 
Hana lolote huyo ma dear......huenda yeye ndo kitombi cha hyo ofc na amewagonga wengi.Sasa wanataka na ww utumbukie kwenye aibu hiyo.....mwambie akuheshimu kama dada yake aliyepotea that's all

Thanks I'll take this advice
 
Usikimbilie kum judge Smile. Being married does not mean you are no longer attractive. What matters is how you deal with these advances from the opposite sex.
....Mimi nasema wanawake wa kitanzania ni washamba sana....hivi una mume au mchumba wako unakaa una-enertain mambo ya kwenye movie eti maua, chocolet....hayo maisha na mme wako mchumba wako unayafikiria saa ngapi.......namuombaga mungu aniepushe wanawake WASHAMBA wenye AKILI ZA KITOTO NAMNA HII..
 
...aonywaye mara nying akishupaza shngo huvunjika... Smile ashasema yote.
Mimi nasema wanawake wa kitanzania ni washamba sana....hivi una mume au mchumba wako unakaa una-enertain mambo ya kwenye movie eti maua, chocolet....hayo maisha na mme wako mchumba wako unayafikiria saa ngapi.......namuombaga mungu aniepushe wanawake WASHAMBA wenye AKILI ZA KITOTO NAMNA HII..
 
Halafu mkude original nimegundua upo weak sana linanapokuja suala la kupetiwa petiwa
...sio weak mweleze mwenzenu ukweli ukisoma post yake ....ni kama yupo empty kama yupo kwenye ndoa labda kaingia kwa bahati mbaya bado anasakanya mapenzi na upendo nje....na ule ushamba ushamba wa mjini na wanaume....na hiyo office ya kupeana chocolet na mauwa...kazi zinafanyika kweli...?
 
Good!! But if this is your stance...why did you bring it here?

I bring it here to release my heart with the whole issue sikutaka kuiweka rohoni nikajaota usiku kwanguvu ikawa tabu. Wajua sie wanawake huwa tunakawaida ya kuhadithia vitu volivotokea siku nzima au mwezi mzima. Sasa mie nimekosa wa kymsimulia maana siku hizi mashosti hawana hata siri, unamwanvia shosti wako analirusha kwa mashosti wote wakati huku hureee
 
anafahamu maana nina pete kidoleni tena kubwaaa na mara nyingi huwa naongea na hubby in love tone akiwepo so he knows.
...what problem with u....upo sawa kweli...?unatatizo lolote kwenye ndoa linakusumbua.....upo kwenye ndoa unaongea kama immature collage girl....kuwa na pete na kuongea kwenye simu unaona ni kinga...?
 
I bring it here to release my heart with the whole issue sikutaka kuiweka rohoni nikajaota usiku kwanguvu ikawa tabu. Wajua sie wanawake huwa tunakawaida ya kuhadithia vitu volivotokea siku nzima au mwezi mzima. Sasa mie nimekosa wa kymsimulia maana siku hizi mashosti hawana hata siri, unamwanvia shosti wako analirusha kwa mashosti wote wakati huku hureee

I know hata mwe wasomi vipi...umbeya ni attribute yenu wanawake...LoL!!
But it seems hiyo office yako ni danguro kila mtu ana hawara yake humo humo.
 
Mkunde Original, Huwa inakuwaga hivi: Huyu mtu alipokufanyia hayo mambo yalikusisimua sana ukawa interested kujua ni nani. Siku ya siku akavunja ukimya akakutokea - usecret lover umeisha. Kinachofuata sasa ni u-true lover. Ingekuwa lengo ni u-secret lover asingevunja ukimya mapema hivyo! Kwenye bandiko lako la kwanza inaonesha hiyo kitu ilikuvuta sana. Ila baada ya watu kuanza kusema maana halisi umeanza kuponda aaa mtu mwenyewe wala simtaki. Kitakachotokea huko mbele ya safari ni kuwa urafiki huo utaendelea. Wewe utajifanya ku-withdraw. Lakini jamaa atajifanya na yeye hayuko serious sana. Siku ukipata kamsukosuko kwenye ndoa - utajikuta uko mikononi mwa huyu bwana halafu utajishangaa mwenyewe. Kuna wanawake wengi sana huwa wanasema hivo - oooh jamaa mwenyewe simzimikiii ila tu nimejikuta nimeanguka. Haya mambo huwa yanafanana sana hadi mtu unajiuliza hivi kweli hawa watu wanafanana hivi?? Yaani mwanamke na vizawadi vya hapa na pale ni kama mbwa na chatu - yaani mbwa anajiingiza mwenyewe - akishaliwa ndo basi tena!
 
Back
Top Bottom