Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
halafu mke wa mtu! hiyo ofice inaitaji mabachelors tu mi naonaDuh!...hii ni full tamthilia ya wafilipino...
advance ofisi gani ambayo haina maadili...eti mtu akikupenda anajientroduce kwa kushow macare....is it applicable hata kwa walio ndoani au ni kwa waseja pekee?
(only ts allowed kama ni moja ya majukumu yenu ya kazi vinginevyo?????????)...hiyo uliyotuonesha hapo sio sharing iz caring among co-workers imeenda maili nyingi zaidi na ofisi inayoruhusu mambo hayo haiwezi kuitwa advanced ofisi....
Ts either tamthilia au mtongozo umeupamba sana ili kuupa uhalali.....ukweli unaujua mwenyewe.