Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Jamani naomba kuuliza, sasa kama mtu hayupo kwenye selection ya kwanza, na hii second selection pia hayupo, na amequalify kuendelea na form five (GPA 1.9) inakuwaje hapo, anatakiwa afanye nini tena, kusubiri tu, au anaweza ku apply chuo kwenye hizi nafasi za ualimu na uhudumu wa ngazi za afya.
 
Jaribu kuangalia labda umepangiwa UDOM special diploma kama ulipiga masomo ya sayansi o level
 
habara zenu wakuu.. Naomben mwenye hyo link yakupata hayo majina ya form 5 wamu ya2 na hzo shule aweke humu tupate wote
 
jaman hvi hii shule ya temeke ni day au boarding na kama kuna hostel ni za shule i mean ulipii au unalipia msaada jaman
 
jaman hii shule ya temeke ni day au boarding na kama kuna hostel ni za shule i mean ulipii au za private
 
ingia katika tovuti ya TAMISEMI utayakuta huko... hakikisha unapo download Uwe na PDF reader
 
Back
Top Bottom