Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Jaman naombeni namba ya tamisemi
haiwezekani nna vigezo vyote udom hawajanichagua first selection hawajanichagua second selection hawajanichagua af nna gpa ya credit na c tatu na b moja mnanishaurije wadau

Duh!!!! umepanic ... embu angalia vizuri punguza jazba mkuu
 
habar za humu ndan wakuu? Naomben msaada mwenye kuelewa hii shule ya temeke ni ipo hyo/ ipo sehemu gana?
 
Back
Top Bottom