Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Jaman Wadau Hv ,kuhusu Swala La Join Instruction Inakuwaje ? Watatuma Kwel Barua Shulen Tulipomalzia Au Vp?
Pia Msaada Kwa Anayeifahamu Shule Ya Iwawa Sec School Anipe Japo Kidogo Info Zake
Nashukuru.
 
JAMAN NAENDA TANDAHIMBA TABORA LAKN CJUI HATA BEI NAUL ADI HUKO... PIA SARE KWA ANAEJUA PLEAX MXAADA WAZEE....... lakn pia kama wapo wa tandahmba apa 2wasliane 0674223498
 
Msaada please. Anaye kifamu vizuri chuo cha BAGAMOYO SCHOOL OF NURSING. Anipe ma inform. Kuna ndugu yang kachaguliwa hko
 
habar za humu ndan wakuu? Naomben msaada mwenye kuelewa hii shule ya temeke ni ipo hyo/ ipo sehemu gana?

ni mpya hata ubao wake haujaandikwa heruf hat moja ipo pemben ya tazara ukitaka tren zipo ipo pemben ya wizara ya mifugo
 
kwa yeyote alie chaguliwa ifunda tech a.k.a ifunda the grolirious anitafute.
 
shule ya temeke ni ya day na jinsi ya kupatq join instraction ni lazima ufike shule na ni sh5000 suluare dark blue hostel zipo 40000 kwa mwezi na 60000 chakula so total 100000 kwq mwezi na ukiwasili shule lazma uwe na copy ya matokeo yako ...copy hyo utaitoa internet cafe
 
Wadau,kuna dogo kachaguliwa RUGUFU BOYS iko Kigoma..Uvinza...kaniomba nimuulizie humu kwa anayeijua vizuri...
 
shule ya temeke ni ya day na jinsi ya kupatq join instraction ni lazima ufike shule na ni sh5000 suluare dark blue hostel zipo 40000 kwa mwezi na 60000 chakula so total 100000 kwq mwezi na ukiwasili shule lazma uwe na copy ya matokeo yako ...copy hyo utaitoa internet cafe

elly me nipo singida naomba kujua tovuti ya temeke nitaipaje?
 
Back
Top Bottom