Hiyo press itazuiwa haraka na wale nguchiloWandugu
Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania
Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.
Kila la kheri
watamkamata, achukue tahadhali kubwa sana.Wandugu
Kama alivyosema, leo moshi unafuka. Tujiandae kwa press kubwa kuwahi kutokea chini ya ardhi ya Tanzania
Nakushauri urekodi, tupatie kideo, live press haitaishi ushavamiwa.
Kila la kheri
Ni mpaka wajue ataitishia wapi press kumbuka anaweza hata akaenda sehemu akarekodi weeeeh alafu baadae akaachia hata akikamatwa ila mzigo utakua hewani si lazma atangaze kwa sababu yule jamaa anakua mbele ya muda sanawatamkamata, achukue tahadhali kubwa sana.
Kwani hazijakoma tu?Inhiiiiii! Siku za mtu fulani zitavurugika kwa press ya leo.
Lazima wamzingireWandugu