Kusema ule ukweli kabisa nssf bado kuna zengwe kuhusiana na hii 2nd written interview.
Kuna watu 30 wameajiriwa kutoka ktk ile written ya ifm tar 13 dec 2014.
I don't know hao 30 walitumia vigezo gani but walitoka ktk ile written ya ifm.
Usikate tamaa nafasi yako ipo tu!!!
Mie nimepigiwa just now...wamenambia 2nd interview jumamosi saa tatu IFM na wamenipa na serial number
Jana walinitumia msg without Namba...so wale ambao wamepata msg without namba wasikate tamaa they will call you to let you know na kama hawajawapigia j'mos muwahi maeneo walowatajia lazima watakuwa na list ya watu walowatumia msg....TUMUOMBE MUNGU ATUSIMAMIE KATIKA HILI maana ni balaa
0718575251 ndio no yenyewe
Kuna alieambiwa interview duce....naona wengi ni ifm
Mimi nilipigiwa saa 1 na dakika kadhaa jioni,akaniambia napiga simu kutoka NSSF ,dada akaniuliza unaitwa fulani,nikamjibu ndiyo,akaniambia unatakiwa ufike kwa Interview ya pili ya NSSF itafanyika DUCE namba yako hii xxxx,mda hakunitajia akakata simu,naomba waliambiwa waende DUCE wanijurishe time waliyoambiwa wao,Tafadhali nisaidieni nipo Ruvuma now.
Morning tu no anymore mzaz
Mmeitwa ushaidi tu wenye kazi zao washajijua
Unasema idadi imekuwa kubwa sasa wewe ulitaka nani aachwe kama vipi wewe usiende ili wawe wachache.Na mm nimepigiwa hiyo wakuu.
Jamani mbona idadi ya wasiliwa bado ni kubwa sana km ilivyokuwa ile interview ya kwanza jamani.
Isije kuwa wanarudia tena usaili ule wa kwanza labda ulikuwa na mushikeri wakuu?
mkuu na we utashiriki interview ya pili? Kama ndio basi nakuombea isiwe na sehemu ya kuandika kiingereza.