Sea food gani unaipenda?

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
4,681
2,000
Mi sea food sikubali kabisa,labda za majani ila sio hawa wadudu!

Wadudu wepi hao, picha tafadhali. Mi kwa chakula cha baharini napenda kila aina ya kiumbe kilichomo humo ndani kasoro taka taka zitupwazo na wanadamu tu, mfano vinyesi, kondomu, maplastiki, chemicals, magari na pikipiki zilizotupwa toka melini, upuuzi mwingine.
 
Top Bottom