AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Family portrait hii ya kitambo sana, kipindi niko mahenge huko nasaka mawe migodini, miaka ya 2002 au 2003 kama sikosei.Nina jiwe lake moja hilii halijawai niboa kabisaa
View attachment 3607723
😅😅 Umenifanya nipakumbuke mahenge mkuu, kuna hotel moja ipo juu kabisa mlimani imenitoka jina ,ndio ilikuwa hotel yangu.. pendwa kutembea pale kidogo msitu wa TFS unapata view nzuri sanaaaFamily portrait hii ya kitambo sana, kipindi niko mahenge huko nasaka mawe migodini, miaka ya 2002 au 2003 kama sikosei.
Hii nyimbo ndio dosho12 alimchumbia nayo Seran miaka hiyo kabla ya seran kuanza kudata kwa kula ganja.Liberian girl 🔥🔥
View attachment 3607724
Kumbe mahenge unapamanya! Ulikuwa unapiga mishe gani huko?😅😅 Umenifanya nipakumbuke mahenge mkuu, kuna hotel moja ipo juu kabisa mlimani imenitoka jina ,ndio ilikuwa hotel yangu.. pendwa kutembea pale kidogo msitu wa TFS unapata view nzuri sanaaa
Harakati za mtu mweusi mkuu, nilikuwa kwenye miradi ya serikali, Ila hivi karibuni nitaenda tena kupumzika tuKumbe mahenge unapamanya! Ulikuwa unapiga mishe gani huko?
...goma hili, uko kwenye utulivu na kichwani umebeba bia tatu na shots nne za don julio. ...don't ask me why, bla ha blah natural ...😅😅 ilibidi amchumbie na dude la Bob kama hili chini
View attachment 3607727
Jiwe hili hapa na hiyo kitu kichwani mzee...goma hili, uko kwenye utulivu na kichwani umebeba bia tatu na shots nne za don julio. ...don't ask me why, bla ha blah natural ...