machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,336
- 5,324
Hii ya meta kwenye what's app ya bongo ipo kweli?
Hii ya meta kwenye what's app ya bongo ipo kweli?
Sawa kaka.
Nashukuru sana
Nafikiri haipo, watu walio Bongo wananiambia hawana. Nafikiri imeanzia huku US halafu wataiweka dunia nzima.Hii ya meta kwenye what's app ya bongo ipo kweli?
Sawa sawaNafikiri haipo, watu walio Bongo wananiambia hawana. Nafikiri imeanzia huku US halafu wataiweka dunia nzima.
Asante sana
Yaani nafarijiwa hapa hadi nahisi raha
😁😁😁Kila mtu ana tatizo la akili , kujitokeza kwake ni suala la mda tu hivyo tuvumilie tutajionea mengi
Muulize kama anaweza kukupiga mshedede.View attachment 3335291View attachment 3335292View attachment 3335293View attachment 3335294View attachment 3335295View attachment 3335296View attachment 3335297View attachment 3335299
Yaani huyu jamaa nimeshafunga nae ndoa.
secretarybird na kampani yako hamtaniona tena humu jukwaani.
Nahudumia ndoa.
Kaka Vincenzo Jr mdogo wangu leo dada, Nomadix, Hero Radio
nyie mods mkiongozwa na Active na Paw kwaherini ya kuonana 👋👋👋👋👋
LonelinessLoliness is real
Katudanganya hapa😆