Screenshot hazijawahi kumwacha mtu salama

Screenshot hazijawahi kumwacha mtu salama

Ila sijaelewa,wanataka ushaidi ili iweje. Nyie wadada taratibu mtaishia kucheza kwaito kwenye harusi za wenzenu. Shauri yenu
 
Napoamua kutongoza huwa sijali kama utanirekodi au kuchukua scrn shot


Hamna sheria nayovunja kwa kumtongoza mtu
 
Hata ukija na screen short yako nakuruka tu, kwani hauwezi ku save namba yoyote kwa jina langu kwenye simu yako ukajifanya ndio mimi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chedhea watoto wa mjini wewe
 
Team hamisamobeto twende kazi mwendo wa kurekod tu
 
Back
Top Bottom