Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kweli screenshot hazijawahi kumwacha mtu salama, njia pekee ya kuepuka sasa hivi ni kutongoza live maana hata ukipiga simu wanarekodi, yameshanikuta wakuu.
Pole mkuuKweli screen shoot hazijawahi kumwacha mtu salama,njia pekee ya kuepuka sasa hv ni kutongoza live maana hata ukipiga simu wanarekodi,yameshanikuta wakuu
Pole sana mkuu ila huo ni utoto mtu mzima anayejielewa hawezi fanya hizo mambo
MmhSiku hizi karibu wadada wote wanafanya kila njia wabaki na ushahidi ni kama upumbavu wetu wanaume wa kuwapiga picha this time wadada hawataki mchezo lazima wabaki na uthibitisho tunaishi kwa kuviziana [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha flash sms za kwenye nokia tochi [emoji3]Send messages that will self destruct after being read
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Siku Hz wanatafuta ushahidi!ni ulimbukeni tu hakuna jingine ila huo ushahidi unatucost sana[emoji3]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]