Uwe unafuta bloatware zote, na kila kitu usichotumia. Pia uwe na tapia ya kuclean trash na kuclear memory kila sikuMm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Hizo simu ulizotaja,compact ni asus na iphones tu.Hapana
Asus Zenfon 9 ni simu ndogo na Asus anaendelea kutengeneza compact flagship
Xiaomi 13 (plain) nayo ni compact, Xiaomi 12 (plain) nayo ni compact
Samsung Galaxy S21 (plain) na S22 plain pia ni compact
iPhone 11 mini, 12 mini na 13 mini nazo no compact na sio outdated
Samsung iphone wote wana simu ndogo, s23 ni simu ndogo, iphone za kawaida ama mini ni simu, sema tu Kwa Samsung ama Iphone definition ya simu ndogo kwao features pia ni kidogo, ukilinganisha s23 na s23 ultra kuna utofauti mkubwa same kwa iphone 14 na 14 pro max.SCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia.
Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!.
Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch 6.4' naona jau kwny utumiaji sasa iyo inch 7 itakuwaje.
Ndugu yangu tuambie wewe unatumia simu yenye ukubwa wa kioo inch ngap na je unaifurahia?
View attachment 2636651
+ 🍎 13&14 pro maxAsanteee
Dunia nzima inajua hizo simu ni compactHizo simu ulizotaja,compact ni asus na iphones tu.
Simu kioo inch 6 unaitaje compact?
Simu ikiwa na display ya nchi 6 mwisho angalau 6.4 kwa sisi wanaume inatufaa mradi display iwe imejaa..Samsung iphone wote wana simu ndogo, s23 ni simu ndogo, iphone za kawaida ama mini ni simu, sema tu Kwa Samsung ama Iphone definition ya simu ndogo kwao features pia ni kidogo, ukilinganisha s23 na s23 ultra kuna utofauti mkubwa same kwa iphone 14 na 14 pro max.
Kampuni ambazo kwa sasa zinatengeneza simu nzuri ndogo ni Sony na Asus.
Zenfone 8 na zenfone 9 zote ni simu kali kwenye umbo dogo, same kwa Xperia V series.
Flaghship ya infinix unamaanisha infinix ipiMm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Hebu nitajie model ya hyo flagshipMm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Sasa hapa tunajadili Simu sio Infinix au tecno.Mm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Pamoja na kuweka iyo feature bado simu haiwi portable kwenye kutumia.Kwa simu nyingi za android kuna feature ya one handed mode ambayo hata kama screen yako kubwa unaitumia hii na kuifanya screen kuwa ndogo ndani ya screen yako kubwa
Napenda screen pana6.8 ni ya kawaida mbona na naishika mkono mmoja na kuandika jumbe zangu bila shida.
Ofcourse size kuanzia nchi 6 na kuendelea inahitaji na mtumiaji awe na ukubwa huo huo wa futi 6 na kuendelea.
Mimi hata wakitengeneza ya nchi 8 bado nakua nayo comfortable.
Mkuu unataka smart phones ziwe na umbo dogo kama vi swaswaduSCREEN SIZE
Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa
utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia.
Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!.
Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch 6.4' naona jau kwny utumiaji sasa iyo inch 7 itakuwaje.
Ndugu yangu tuambie wewe unatumia simu yenye ukubwa wa kioo inch ngap na je unaifurahia?
View attachment 2636651
raha ya smart phone iwe na display kubwaInfinix itel na tecno kuganda ganda ni kawaida ama hayo makampuni.Mm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana hasa keyboard ikipanda
Hakuna screen size ya simu kwa ajili ya wanaume wala wanawakeSimu ikiwa na display ya nchi 6 mwisho angalau 6.4 kwa sisi wanaume inatufaa mradi display iwe imejaa..
Maana licha ya kuishika vizur mkononi pia hata ukiiweka mfukoni bado haiharibu muonekano wa suruali au pensi
Ila siku kubwa zinawafaa wakina dada maana wataweka kwenye pochi zao
Hao iphone na samsung inabid waliangalie hili.. specifications ziwe sawa bila kuangalia size ya simu sisi wateja ndio tutachagua


Na mimi nimemwambia

Au kuna ile feature ya kujirestart automatic kila ifikapo 2:00AM inasaidia simu kuwa na utendaji wa kazi mzuriUwe unafuta bloatware zote, na kila kitu usichotumia. Pia uwe na tapia ya kuclean trash na kuclear memory kila siku
Hakikisha ukienda kulala usiku simu ina trash only 0 MB
Mimi naclear trash na memory kila siku Ila natumia Xiaomi sio Infinix.
Lakini trash zipo karibu kwenye simu zote za Android so unapaswa kufuta mara kwa mara