Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 65
- 66
- Thread starter
- #41
Ahaa ndo hii apaAu kuna ile feature ya kujirestart automatic kila ifikapo 2:00AM inasaidia simu kuwa na utendaji wa kazi mzuri
Ahaa ndo hii apaAu kuna ile feature ya kujirestart automatic kila ifikapo 2:00AM inasaidia simu kuwa na utendaji wa kazi mzuri
NdioAhaa ndo hii apa
View attachment 2639686
Simu kuwa compact inatakiwa iwejeHizo simu ulizotaja,compact ni asus na iphones tu.
Simu kioo inch 6 unaitaje compact?
Kumbe na infinix nao wanatoa flagship?🤣🤣🤣Mm natumia flagship ya Infinix ila shida ni kuganda ganda sana