Scorpion akiwa katika mafunzo ya mapigano

Kama kweli alijifunza huo mchezo asingeweza kumtoboa mtu macho. Alikutana na kitonga tu. Wajuvi hawako kihivyo. Ni sawa na dume linafanya mazoezi kila siku aende akampige mkewe manguni. Huo kwetu tunauita Usoro.
yule ni mwizi ndo maana katobolewa macho
 
Chupi tu huyo anakutanaga na vitoga tu ngoja aingie anga za kiume aone mziki wake

maxresdefault.jpg
 
Kuna mjinga kaniletea usenge hapa nimetamani kumtoboa.
By the way si tuliocheza mchezo km huo miaka ya 90 ilikua kawaida tu,tulikua hatufiki huko ila mateke na ngumi za mbavu utakaa tu.
Lakini ilikua umekutana na adui kweli kweli then tumia kila kitu.
Ndo pale unamtoboa macho mtu,unampiga vidole kwa nguvu mpk vinazama ndani ya ngozi.
Hapo ni km umeshindwa kupambana nae.hatua ya mwisho ni hiyo kumngoa mtu macho.
Scorpion amengoa macho moja kwa moja alipokasirika.si nzuri akiwa km mpiganaji.angeweza kumvunja viungo adui wake kawaida tu na kesi isingekuwa sensitiv.
Haya mambo yalifanyika zamani,Mtu hasimami kwa kichapo,na mkikutana mnasalimiana km mlikua kwenye daku jana usiku

Ila inshu ni kwamba hawakua wanapambana..jamaa alikua anapewa dozi bila kurudisha shambulio..
 
Kama kweli alijifunza huo mchezo asingeweza kumtoboa mtu macho. Alikutana na kitonga tu. Wajuvi hawako kihivyo. Ni sawa na dume linafanya mazoezi kila siku aende akampige mkewe manguni. Huo kwetu tunauita Usoro.
Mleta mada nilimwambia huyo jamaa hana lolote anawaonea wanyonge tu akutane na mtu kama mimi aone balaa lake
 
I salute yu Brigedia!! Watu hupenda saana kuwatishia wanyonge. Kama angelikuwa moto asingeli toboa wenzie macho. Kwanza komandoo wa kweli hatendi kihivyo. Huyo alimfuma kitonga tu. Ipo siku, atayajutia matendo yake.
 
Kama kweli alijifunza huo mchezo asingeweza kumtoboa mtu macho. Alikutana na kitonga tu. Wajuvi hawako kihivyo. Ni sawa na dume linafanya mazoezi kila siku aende akampige mkewe manguni. Huo kwetu tunauita Usoro.
mkuu nenda kamjaribu
 
mkuu nenda kamjaribu

Yona;
Nisome vizuri, hakuna na nasema, hakuna, aliyejifunza mchezo huo akaambiwa akautafute ugomvi. Labda kwenye movie. Mtaalam wa mchezo huo hautaki hata huo ugomvi, kitu humjia ghafla ka kuvamiwa na majambazi lakini sio vidokozi. Swali; Waweza mpiga mkeo mangumi kisa kagoma kukunawisha mikono mbele ya wageni ule ugali?? Ukijibu, basi nami ntakujibu kuhusu mkutano wangu na hilo lisoro.
 
ALIYETOBOLEWA MACHO NI KIBAKA MSUMBUFU NDIO MAANA HAKUTAKIWA KUUWAWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom