Unadai Dar es Salaam umeacha alama itakayodumu milele??? Ni alama gani hiyo?
Ulikuwa mkuu wa mkoa ukilipwa mshahara na posho za kutosha hivyo ulikuwa ni wajibu wako kiwatumikia wananchi. Ukikuwa hutoi msaada.
Wapo wakuu wa mikoa waliopita kabla yako na walifanya mambo makubwa ndani ya jiji la Dar ila walikuwa hawachukui sifa kibinafsi, sifa zote walikuwa wanaipa serikali. Acha ubinafsi kijana. Walikuwepo wakuu wa mikoa wengi sana hapo Dar na walipita pasipo kujichukulia utukufu "eti nimeacha alama itakayodumu milele"
Baadhi yao ni:
Luteni Yusufu Makamba
Kapteni Ditopile Mzuzuri
Wiliam Lukuvi
Sebastian Kandoro
Mecky Sadick n.k
Punguza sifa bwana mdogo
Sent from my Infinix Zero 3 using
JamiiForums mobile app