Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
AsanteTumeomba kwingi na kukubaliwa kwa baadhi na kukataliwa kwa wengine, na wote hao hakuna mwenye mihemko ya wivu kama nyie, wao wanafanya kwa kutumia ubongo na kushirikisha sababu za kitaalam.
Yaani hadi sasa hivi kwenye uzi huu hakuna hata mmoja wao ambaye ameelewa kinachozungumziwa kwenye barua hiyo? Eti na wote hawa walifunzwa kwa kiingereza kutoka kidato cha kwanza. Kuna 'scenario' mbili tu hapa; a)Itakuwa wote hawa ni mavichwa boga kupindukia, na b) Wote ni madrop out wa darasa la 7. 