Dini bana madhehebu mengine wakitumia maji ya baraka ooh ooh sijui nini wanaabudu nini sijui.... dah ila sicker na hayo maji sio sanamu au??
Nimepitia thread nzima maoni ya watu. Na nimeona video mbalimbali za uyu jamaa Na pia nimesoma historia ya t.b joshua. Na vikwanzo alivyopitia. Na hata watu wanaojiita wa Mungu walivyotumika kupinga huduma yake. Serikali. Kila aina ya uadui shetani aliouinua kupitia watu mbalimbali. Na kingine nilichojifunza shetani hawezi kupinga kazi yake. Wala hawezi kutoa siri za kipepo na kishetani how they oparate wala hawezi kuangamiza majeshi yake mwenyewe. Wala hawezi kuponya watu kutumia jina la Yesu. Ivo jamani kama imani yako inakuaminisha kupitia hii huduma usikize watu na maoni yao. Shetani ni mzoefu wa vita na anajua kila njia ya kupigana na binadamu has wale ambao neno la Mungu halijakaa ndani yao. T.b Joshua ana Mungu wa kweli na huduma ya maji ni simply hawezi kumfikia kila mmoja au kumwekea mkono kila mmoja. Bali ni matendo ya imani. Na matendo ya imani hata katika biblia yapo mengi. Sana kwa Musa yapo mengi hata hayaelezeki. Nguvu ya Yesu kristo ipo ndani ya t.b Joshua. Kwa maana iyo hata maji pia yana nguvu ya Yesu kristo. Na imani yako kwa Yesu kristo na si kwa nabii ikiunganishwa na nguvu za Mungu alizoziruhusu kupitia t.b Joshua ndio inakamilisha kile unachokiomba katika mwili. Sijakulazimisha uamini au sijakuforce utumie maji. But naelezea how it works. Wale wenye shule ya " ulimwengu wa roho wananielewa sana"
Wewe unaeamini nikutie moyo. Endelea kuomba Mungu kwa kadri roho mtakatifu atakavyokuongoza. Akikuambia ukasali kwako sawa. Akikuambia upitie kwa t.b joshua sawa. Akikuambia uende ukasali kawe,mikocheni,kinondoni,ubungo ni sawa Mungu ni mmoja. Maana yeye anaonekana kupitia roho mtakatifu na ndo uyouyo. Alimradi tuomba kupitia maneno ya Mungu katika biblia na jina la Yesu. Amin barikiwa sana.
Bwana Yesu Asifiwe!
Nina wataarifu kuwa, kwa wale wamtumainiao Bwana...wale wenye shida mbali mbali na wale ambao wamekua wakimfuatilia Prophet TB Joshua via #Emmanuel Tv; kwa namna moja au nyingine wamekua na hamu ya kwenda SCOAN au kupata Anointing water, Sticker, Vitabu pamoja na DVD ; ofisi zipo Dar es Salaam, Posta #Jengo la Mkapa house, Ground floor- jirani na duka la nguo la Mariedo.
1. Utapata maelekezo jinsi ya kusafiri
2. Kwa wanaohitaji vitu tajwa hapo juu : vinapatikana hapo but kwa dolar 50. (50USD)
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na Dada Martha ambae ni agent wa SCOAN kwa hapa Tanzania kupitia namba +255755875201.
#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
Mbona nasikia TBJoshua amechagua mawakala wengine TZ? NAsikia kwa sasa mpo watatu, sasa kwa wewe kusema coordinator yupo mmoja tu ina maana unaita wale wawili kuwa ni fraudsters makusudi. Tafadhali, check vizuri na SCOAN wakueleze kuwa mpo watatu. Hawa wengine wakienda kulalamika kuwa umewaita fraudsters nadhani nawe pia utasimamishwa kuwakilisha SCOAN hapa TZ.
TB Joshua ni nabii wa uongo tu kama walivyo wengine anatumia matatizo yanayowapata binadamu kutuaminisha kuwa yeye ni nabii anayewasiliana na Mungu kama ni mawasiliano na Mungu hata Lusekelo, Mwingira, Rwakatale na wengine wengi nao tunawaona wakifanya hivyp na kufanya mazingaombwe ya kupanesha watu.
1.Nitajie nabii wako wa ukweli?
2.Je wakati tb joshua au uliowataja wanaitwa na Mungu ulikuwepo
3. Umejuaje kama ni waongo
sidanganyiki
Aisee mtumishi asante kwa shule nzuri ulotupia hapo juu kwakweli Nimeielewa sasa huduma ya TB Joshua!Nimepitia thread nzima maoni ya watu. Na nimeona video mbalimbali za uyu jamaa Na pia nimesoma historia ya t.b joshua. Na vikwanzo alivyopitia. Na hata watu wanaojiita wa Mungu walivyotumika kupinga huduma yake. Serikali. Kila aina ya uadui shetani aliouinua kupitia watu mbalimbali. Na kingine nilichojifunza shetani hawezi kupinga kazi yake. Wala hawezi kutoa siri za kipepo na kishetani how they oparate wala hawezi kuangamiza majeshi yake mwenyewe. Wala hawezi kuponya watu kutumia jina la Yesu. Ivo jamani kama imani yako inakuaminisha kupitia hii huduma usikize watu na maoni yao. Shetani ni mzoefu wa vita na anajua kila njia ya kupigana na binadamu has wale ambao neno la Mungu halijakaa ndani yao. T.b Joshua ana Mungu wa kweli na huduma ya maji ni simply hawezi kumfikia kila mmoja au kumwekea mkono kila mmoja. Bali ni matendo ya imani. Na matendo ya imani hata katika biblia yapo mengi. Sana kwa Musa yapo mengi hata hayaelezeki. Nguvu ya Yesu kristo ipo ndani ya t.b Joshua. Kwa maana iyo hata maji pia yana nguvu ya Yesu kristo. Na imani yako kwa Yesu kristo na si kwa nabii ikiunganishwa na nguvu za Mungu alizoziruhusu kupitia t.b Joshua ndio inakamilisha kile unachokiomba katika mwili. Sijakulazimisha uamini au sijakuforce utumie maji. But naelezea how it works. Wale wenye shule ya " ulimwengu wa roho wananielewa sana"
Wewe unaeamini nikutie moyo. Endelea kuomba Mungu kwa kadri roho mtakatifu atakavyokuongoza. Akikuambia ukasali kwako sawa. Akikuambia upitie kwa t.b joshua sawa. Akikuambia uende ukasali kawe,mikocheni,kinondoni,ubungo ni sawa Mungu ni mmoja. Maana yeye anaonekana kupitia roho mtakatifu na ndo uyouyo. Alimradi tuomba kupitia maneno ya Mungu katika biblia na jina la Yesu. Amin barikiwa sana.
Nilisikia wale wawakilishi wa SCOAN watarudi tena Tanzania. Kuna mtu anajua watarudi lini?
Tupeni ukweli wa nani ni kameshina wa Prophet TB Joshua Tanzania na new anointing water imeshafika na brasileti