SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

Reading bible bible without a knowledge and a corresponding power from above you is like Ur reading events and history... And worshipping God without depending on his spirit is like Ur worshipping God you do not know....
 
Ndo majibu yenu haya?.?
Nyie wapakwa mafuta wa SCOAN, na kumbukeni kuna dada amewahi kulalamikiwa kwa majibu ya nyodo na kebbehi.....
MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAOOOOO........ ENDELEENI NA MAJIBU YENU ILI YULE ALIYE NDANI YENU ADHIHIRISHWE KWETU
 
Duh Sijui wewe Ndio umeacha nikatukanwa kwenye PM na hao SCOAN hata sijui
 
Last edited by a moderator:
Haha, 50$ bora nikapige bia kuliko kununua maji ya kishetani
 
Okay of all that let us don't hate the person bt hate the habit... of someone.
 
Duh Sijui wewe Ndio umeacha nikatukanwa kwenye PM na hao SCOAN hata sijui

Hawa ni wafany biashar tn bla ya aibu wanatak kuvuna kw wenye shida na kiu ya Mungu.wanaomb msamah uongo coz washaumbuk ukiwaPM ndo wanatukan.kiukwel narudia tn coni jna linalowastahili.
 
Last edited by a moderator:
kwakweli kitendo cha kufanyia biashara karama ya Mungu ni ufisadi wa hali ya juu kwa maana yesu alisema mlipewa bure toeni bure na simoni alitaka kununua karama akakemewa
ko mm sikubaliani kufungua duka la kuuza karama za Mungu kama ni maono basi ni mapya na yesu hakutoza wala poul
 
Hawa ni wafany biashar tn bla ya aibu wanatak kuvuna kw wenye shida na kiu ya Mungu.wanaomb msamah uongo coz washaumbuk ukiwaPM ndo wanatukan.kiukwel narudia tn coni jna linalowastahili.

Hivi huyu SCOAN ni He/ she maana anadil na PM tu
 
Hivi huyu SCOAN ni He/ she maana anadil na PM tu

Anatukan sn kwny PM.katukosa aibu naona hajajibu hoja ht moja ya matuc yke kaingia mitin.inawezekn ypo labour man mimba alizotiwa jn nahic atakuwa ICU...analeta ukachero kwny neno la Mungu.atupishe akafie mbali hkoooo....
 
Aisee na mie nimeshangaaa naporomoshewa matusi
 
***** hawa ni Matapeli, Afu wana majibu ya nyodo sana. Dola 50??

Sasa nawa PM afu nakaza mmoja baada ya mwingine.
 
Aisee na mie nimeshangaaa naporomoshewa matusi

Mm coni sababu ya kutomrusha kwny heka heka hki kimartha kinaujeuri wa kimeru sn.cjui cha aina gn au lile jani noumaaa?!hao wafuac wke hta kuandik hawajui nao washapat vielement vyake.alomponza jn kurusha ile thread hatokaa kumsahau maishan mwake.njia ya mwongo ni fupi.
 
Kaunga: Sijasema mimi ni Martha(Take Note)
Hiyo namba uliyoiweka kuna siku nimeipga karibu mara kumi inaiita haipokelewi tena kwa muda tofauti baadaye akawa anaikata inaonyesha kweli huyo martha anajisikia sana hafai kuwa coordinator! Bora kama mmebadilisha!
 
Last edited by a moderator:
***** hawa ni Matapeli, Afu wana majibu ya nyodo sana. Dola 50??

Sasa nawa PM afu nakaza mmoja baada ya mwingine.

Hahahaaaa. ......washastuk watakuw hawatukn tn mafisadi wakijinga hawa
 
Lakini mbona Tb joshua mwenyewe anasema hivi vitu wao hawauzi.....acha kudanganya raia wewe!!....BiG FRAUDSTAR
 
Mnapewa nguvu bure nyie mwauzia watu why?

Yesu mbona hakuuza uponyaji? Nyie hamtoki kwa yule mwovu?

Hatudanganyiki na maji yenu ya mvua manabii wa uongo.....
 
mtowa mada ajaelewa haswa kusudi la iyo huduma, jamani annointing water na stiker aziuzwi bali kinachouzwa ni cd kwa iyo bei aliyotaja hapo juu, then ukisha nunua cd unazawadiwa annointing water na stiker bure, kwani amma anayeweza kuuza upako( annointing), upako unatolewa bure kwani bwana Yesu alishalipa gharama yote pale kalivari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…