Scientific fact na knowledge Thread

Also nilisema tunaichukulia nothingness kama sio concept wala experience. Unasahau kutembea nayo kila muda...

Nothingness=sio dhana wala kitendo
 
Hoja yako inaanguka kwenye contradiction ya msingi.
Ukisema “vyote havipo, hata awareness🤔 unahitaji kitu kinachotambua hilo la hakuna kitu.
Kama hakuna awareness kabisa, basi nani au nini kinafanya claim hiyo?
Hata kauli mind = ego, hakuna experience, bado ni experience ya kufikiri inayoendelea, huwezi kuikataa bila kuihusisha .
Na muhimu zaidi, ukiondoa kila kitu kweli, hata “HAKUNA KITU ” haiwezi kujulikana. Kwa hiyo non-existence absolute ni statement inayojiharibu yenyewe.
 
Ukisoma Kitabu cha Stephen Hawking cha A Brief history of Time.. ameongea vitu vingi mno kuhusu hili ikiwemo issue ya Blackholes.. Jamaa alikuwa Genius!
 
Bwashee ngoja niende ata it's most basic level

Everything vibrates si tuna elewa kuhusu hili? Even thoughts are vibrations do you believe in that?
 
Thoughts ni emergent neural activity (electrochemical processes) si vibration kwa maana ya mystical equivalence.

Thoughts ni emergent neural activity (electrochemical processes) si vibration kwa maana ya mystical equivalence.
Let's not get to that part because it all boils down to vibrations

Kwani emergent neutral activity which is just a fancy way of dodging the bullet inakua as a result of nini? Kama si firing and wiring of neurons?
 
Ndiyo, neural firing and wiring ya neurons ndiyo msingi wa brain activity hilo halipingwi. Lakini hilo halibadilishi maana ya mjadala.
 
Ndiyo, neural firing and wiring ya neurons ndiyo msingi wa brain activity hilo halipingwi. Lakini hilo halibadilishi maana ya mjadala.
Nataka kusema kitu kimoja ya kuwa since even thoughts are a vibration(or tuseme a result of it hatujui) then what's the essence of energy if not vibration?

Haya na kuonesha wapi ulikuwa huoni..

Vibration has highs and lows(yaani expansion and contraction) what lies between is zero point

Sasa that idea inakuja hapa na ndo nilicho maanisha ila wewe ulikuwa unanirudisha kwenye mechanics of the mind

Nilimaanisha singularity(explained kwenye mchoro above) the zero point.
Ambayo ndo wewe halisi

Hapo ndo true nature yako baada ya kufikia Enlightenment. Sasa hiyo tunajua tu hakuna kufikiri tena wala experience ulo isema wewe.

Umeelewa au unahitaji maelezo tena?
 
Unasema hakuna kufikiri, hakuna experience, hakuna anayebaki, halafu bado unasema ,hapo ndipo wewe halisi. Hapo umejipinga.

Kama kweli hakuna experiencer, hakuna thinker na hakuna identity, basi unamwitaje huyo wewe halisi?

Ukimpa jina, tayari umeunda identity nyingine ya kifalsafa.

Singularity au zero point si kitu kinachoweza kushikiliwa kama hitimisho la akili.

Akili inaposema nimefika, bado ni akili inayojitangaza imefika.

Enlightenment si kubadilisha ego ya zamani na ego mpya inayoitwa true self.

Pale unapodai hii ndiyo true nature yako, bado uko kwenye dhana, si kwenye ukweli wa moja kwa moja.
 
Mkuu bado hatujapatana

Si tulikubaliana kuwa sisi ni energy? Au Umesahau?
 
Mkuu bado hatujapatana

Si tulikubaliana kuwa sisi ni energy? Au Umesahau?
Ndiyo, tulikubaliana sisi ni energy. Lakini ukisema mimi ni energy ,tayari umejenga utambulisho mpya ,Jana ulikuwa mwili, leo umekuwa energy ego imebadilisha nguo tu.

Enlightenment si kubadilisha lebo kutoka mwili kwenda energy ni kuvuka hitaji la lebo zote.

Hata energy ni dhana inayoelezea jinsi uhalisia unavyojitokeza, si kile kilicho katika asili yako.

Kwa hiyo, kama bado unashikilia sentensi sisi ni energy, bado hujavuka dhana. Umebadilisha gereza, hujatoka gerezani.
 
Si nimekueleza ya kuwa kama mawazo ni energy.. Then chanzo chake ni singularity ambayo ndo chimbuko la kila kitu

Kama mimi ni energy? Asili yangu ni ipi? Tukiachana na maelezo na attachment?

Tutarudi palepale tu
 
Twende from an energetic perspectives tuache mambo ya ego and mental dynamics
 
Si nimekueleza ya kuwa kama mawazo ni energy.. Then chanzo chake ni singularity ambayo ndo chimbuko la kila kitu

Kama mimi ni energy? Asili yangu ni ipi? Tukiachana na maelezo na attachment?

Tutarudi palepale tu
Ukiweka enlightenment kama msingi wa maongezi yetu toka mwanzo , huo utambulisho wa energy unakufa pia
 
Ukiweka enlightenment kama msingi wa maongezi yetu toka mwanzo , huo utambulisho wa energy unakufa pia
Mhh that is even more better kuliko kusema experience?
Mi bora nikasema kuwa that which I don't know is nothing, or singular from an energetic pov kuliko unambie eti kinacho baki ni experience.

Huyo experiencer pamoja na experience yenyewe zimeisha dissolve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…