Scholes Amtaka Ronaldo kuwa Goalkeeper😃

Scholes Amtaka Ronaldo kuwa Goalkeeper😃

Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.

Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:

“ Nadhani ni ngumu kwa kocha… nilimuuliza Roberto Martinez off-camera kama Ronaldo ni tatizo kwake, kwa sababu nahisi ni tatizo kidogo. Ukiwa na miaka 41 kuna nafasi moja tu unaweza kuanza uwanjani… goalkeeper ”

Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa baada ya Ronaldo kushindwa hata kupiga shot on target dhidi ya DR Congo.

Scholes akaongeza kuwa kinachoweza kumuuma zaidi CR7 ni kuona rivals wake wakianza World Cup kwa moto mkubwa huku yeye akihangaika🤣🤣🤣

Wakati Ronaldo:

  • Alimaliza first half bila shot yoyote
  • Bila duel yoyote ya maana
  • Na Portugal wakionekana hoi😅😅

Kwa upande mwingine:

  • Lionel Messi alianza kwa hat-trick 🔥
  • Kylian Mbappé akaanza kwa brace 🔥

CR7, Mr. Champions League, The Portuguese Machine, Captain wa Portugal na Mnyama wa Madeira ameendelea kuwa mjadala kutokana na performance yake ya hivi karibuni.

Kinachowafariji mashabiki wake ni kuwa jamaa bado anaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram akiongoza kwa 667m followers na pia ndiye mchezaji tajiri kuliko wote.
Hajamtendea haki, deeply from the bottom of my heart kuna nafasi mbili ambazo zinamfaa kuanza uwanjani.
-Ya Kwanza ni kuwa referee.
-Ya pili ni kuwa shabiki.
 
Huyu akiwa referee anaweza akaamuru penalties from nowhere kisha akawa anazipiga mwenyewe hizo penalties.
 
Kwenye soka hapana ndio maama ukiambiwa mashindano ya under 22 mwenye 23 hatakiwi maama atakua na uwezo tofauti na wenzake
Vipi hiyo under 22 yule mwenye miaka 21 au 20 hatakiwi?
 
Kwenye wachezaji bora duniani ambao unawajua ni yupi ambae hua hapigi penalty?
Nimezungumzia nickname yake ya mitandaoni ya PENALDO na sijasema kuwa wachezaji hawaruhusiwi kupiga penati au kwamba kuna wachezaji walio bora au wale average ambao huwa hawapigi penati.
 
Messi kapiga penalty kama ni rahisi kupata nini kimetokea?
 
I thought we're talking about PENALDO🙄!
So you're a talking about the very La Pulguita who scored the hat-tricks on their first game, let's see what he'll do and then we gonna judge him according to how he'll perform.
Let's hope that PENALDO is watching as well and enjoying whenever La Pulguita(La Pulga) misses goals.
 
Kwenye soka hapana ndio maama ukiambiwa mashindano ya under 22 mwenye 23 hatakiwi maama atakua na uwezo tofauti na wenzake
Ndio ujue sasa mwenye miaka 20 na mwenye miaka 23 wako rika moja tu sawa na mwenye 38 alivyo rika moja na mwenye 41.
 
Mtu anacheza WC ya sita na anafunga zote sisi wabeba kuni na kuongeza sifuri tunapojenga viwanja vyetu tupo busy kuwakosoa waliofanikiwa baada ya kujadili matatizo yetu tunashindwa wapi kama Cape Verde hawafiki hata laki sita wanafanya vizuri sisi tumejaa na hakuna kitu tunajua zaidi ya kuwakosoa waliofanikiwa kwenye mpira.
 
Hapa mkosoaji ni Scholes sio sisi.
 
Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.

Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:

“ Nadhani ni ngumu kwa kocha… nilimuuliza Roberto Martinez off-camera kama Ronaldo ni tatizo kwake, kwa sababu nahisi ni tatizo kidogo. Ukiwa na miaka 41 kuna nafasi moja tu unaweza kuanza uwanjani… goalkeeper ”

Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa baada ya Ronaldo kushindwa hata kupiga shot on target dhidi ya DR Congo.

Scholes akaongeza kuwa kinachoweza kumuuma zaidi CR7 ni kuona rivals wake wakianza World Cup kwa moto mkubwa huku yeye akihangaika🤣🤣🤣

Wakati Ronaldo:

  • Alimaliza first half bila shot yoyote
  • Bila duel yoyote ya maana
  • Na Portugal wakionekana hoi😅😅

Kwa upande mwingine:

  • Lionel Messi alianza kwa hat-trick 🔥
  • Kylian Mbappé akaanza kwa brace 🔥

CR7, Mr. Champions League, The Portuguese Machine, Captain wa Portugal na Mnyama wa Madeira ameendelea kuwa mjadala kutokana na performance yake ya hivi karibuni.

Kinachowafariji mashabiki wake ni kuwa jamaa bado anaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram akiongoza kwa 667m followers na pia ndiye mchezaji tajiri kuliko wote.
Screenshot_20260628_090525_Google.jpg
 
Ronaldo anawafunga midomo wanaomponda kwa kufunga kwa penalty.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom