Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,061
- 125,917
Kwa hiki ulichosema, mbona kama Ronaldo n bora kuliko Messi mana Ronaldo anapambana tofauti na Messi anayesubir kuletewa tuu.Mesi ni mchezaji mzuri ktk mfumo aliouzoea. Pia ana pata mapenzi yote kutoka ktk nchi yake na wachezaji wenzake. Hakimbii mpka awe na mpira. Hapo ndo amemzidi Ronaldo. Ronaldo anatamani kufanya vitu vingi kwa pamoja anatamani kukaba hamasa, kucheza na jukwaa, mitandao, na hapo hapo anakimbiza rekodi zake binafsi.
Au mm sijaelewa ulichoandika?