Rwiziringa Tactics
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 871
- 1,804
Ronaldo till final
Siuuuuuuu
Linarudi Madeira
Ronaldo yupo na haogopagi mtu
Siuuuuuuu
Linarudi Madeira
Ronaldo yupo na haogopagi mtu
Ushasema Kuongea ujinga, mm sizungumzii mtu kuongea ujinga.We unadhan kuna fala ataongea ujinga huo pale argentina akabaki salama, mulize dogo gernacho
Dah watu mna roho ngumu kweliš¤£Ronaldo till final
Siuuuuuuu
Linarudi Madeira
Ronaldo yupo na haogopagi mtu
Yan hd apate mgao wakeDah watu mna roho ngumu kweliš¤£
Kweny hili kila mtu anaendeshwa na mapenzi tuu, mbaya zaidi n kuendekeza hayo mapenzi.Mkuu mimi ni team Messi ila napata ukakasi kidogo kusema Ronaldo ni mchezaji wa kawaida labda niseme tu hajafika level ya Messi na ameisha kwa sasa.
Niujinga kusema cr7 niwakawaida kama wao, vp dogo gernacho aliesema yeye role model wake ni cr7 nandio anamkubali hii ikafanya dogo atolewe kikosin coz hana nidham kwa mbuziUshasema Kuongea ujinga, mm sizungumzii mtu kuongea ujinga.
Naongelea mtu kusema ukweli.
Watu wenye akili kama zako ndo mnawaona watu fulani n MunguNiujinga kusema cr7 niwakawaida kama wao, vp dogo gernacho aliesema yeye role model wake ni cr7 nandio anamkubali hii ikafanya dogo atolewe kikosin coz hana nidham kwa mbuzi
Jifunze kutoa appreciation kwawatu nakaz zao huo ndo uungwana nyie ndo roho mbaya zinawauaWatu wenye akili kama zako ndo mnawaona watu fulani n Mungu
Mkuu, hakuna mahali nimemponda Messi au Ronaldo.Jifunze kutoa appreciation kwawatu nakaz zao huo ndo uungwana nyie ndo roho mbaya zinawaua
Watu humu wanavyompamba huyo Messi Utadhani alikuwa uwanjani pekee yake.Huyo Messi mwenyewe mnampamba kwakuwa timu inashinda subirini wapigwe mtasikia mengi, ni vile tu wachezaji wa Argentina wanamuheshimu ila uwanjani timu ikiwa Haina mpira Messi hana msaada wowote.anakuwa abiria mzigo.
A real GOAT knows when to exit.Paul Scholes ameibua mjadala mkubwa baada ya kumchana Cristiano Ronaldo kufuatia mwanzo mbovu wa Portugal kwenye World Cup.
Akiongea kwenye podcast ya The Good, The Bad & The Football, gwiji huyo wa Manchester United alisema:
ā Nadhani ni ngumu kwa kocha⦠nilimuuliza Roberto Martinez off-camera kama Ronaldo ni tatizo kwake, kwa sababu nahisi ni tatizo kidogo. Ukiwa na miaka 41 kuna nafasi moja tu unaweza kuanza uwanjani⦠goalkeeper ā
Kauli hiyo imezua mjadala mkubwa baada ya Ronaldo kushindwa hata kupiga shot on target dhidi ya DR Congo.
Scholes akaongeza kuwa kinachoweza kumuuma zaidi CR7 ni kuona rivals wake wakianza World Cup kwa moto mkubwa huku yeye akihangaikaš¤£š¤£š¤£
Wakati Ronaldo:
- Alimaliza first half bila shot yoyote
- Bila duel yoyote ya maana
- Na Portugal wakionekana hoiš š
Kwa upande mwingine:
- Lionel Messi alianza kwa hat-trick š„
- Kylian MbappĆ© akaanza kwa brace š„
CR7, Mr. Champions League, The Portuguese Machine, Captain wa Portugal na Mnyama wa Madeira ameendelea kuwa mjadala kutokana na performance yake ya hivi karibuni.
Kinachowafariji mashabiki wake ni kuwa jamaa bado anaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram akiongoza kwa 667m followers na pia ndiye mchezaji tajiri kuliko wote.
Kabisa Scholes awe na akiba ya maneno.Muwe na akiba ya maneno Ronaldo hatabiriki kesho asije wafunga midomo
Hata Ronaldo analijua hilo lakini sasa anaondokaje bila World Cup?A real GOAT knows when to exit.
Ndicho anachokosea Cristiano Ronaldo, angeondoka zake mapema bado angekua na influence kubwa tena kubwa sana kwenye soka ukilinganisha na sasa
Mlitazama mpira?Yan timu nzima ya ureno imeshindwa kuidhibiti congo huku ikiwa nawachezaji wazuri kila eneo leo analaumiwa cr7 pekeake hao akina Bruno wamefanya nn uwanjana....aseee uchawi kweli upo
Atacheza bekozi of ufupiHakuna cha ajabu hapo jata huyo mesi akifika umri wa ronaldo hataweza kucheza
Mesi ni mchezaji mzuri ktk mfumo aliouzoea. Pia ana pata mapenzi yote kutoka ktk nchi yake na wachezaji wenzake. Hakimbii mpka awe na mpira. Hapo ndo amemzidi Ronaldo. Ronaldo anatamani kufanya vitu vingi kwa pamoja anatamani kukaba hamasa, kucheza na jukwaa, mitandao, na hapo hapo anakimbiza rekodi zake binafsi.Kweny hili kila mtu anaendeshwa na mapenzi tuu, mbaya zaidi n kuendekeza hayo mapenzi.
mm namkubali Ronaldo kuliko Messi Japokuwa Messi n noma.
Argentina walifungwa na Saudia Arabia WC 2022 na bado walibeba ndoo. Messi ana faida ya ufupi na uwezo wa kucheza eneo kubwa zaidi uwanjani,ukiacha uwezo mwingine alio nao kama dribling n.kHuyo Messi mwenyewe mnampamba kwakuwa timu inashinda subirini wapigwe mtasikia mengi, ni vile tu wachezaji wa Argentina wanamuheshimu ila uwanjani timu ikiwa Haina mpira Messi hana msaada wowote.anakuwa abiria mzigo.