Saying I am Sorry......

Mi Msamaha mara moja tu ukikataa sikubembelezi.
Usiwe hivyo Dada! Inategemea na aina ya kosa. Kosa likiwa kubwa na ikiwa hutosamehewa kunaweza kuhatarisha mahusiano, usichoke kuomba samahani hadi usamehewe.

Usiwe hivyo Dada! Inategemea na aina ya kosa. Kosa likiwa kubwa na ikiwa hutosamehewa kunaweza kuhatarisha mahusiano, usichoke kuomba samahani hadi usamehewe.

sijazoea kuomba msamaha kwasababu sijazoea kumkosea mtu. Inapobidi huwa nafanya hvyo ila hadi niridhike kosa ni langu, kama umechangia kwenye hilo kosa msamaha utauomba wewe aisee.

Kawaida samahani za namna hii zinakuja pale panapokuwa na shinikizo la mtu wa tatu (au watu), lakini ukweli mkosewa huwa hana nia ya kukubali kusamehe.

sipendi mtu wa tatu aingilie ugomvi wetu, sipendi kumsikiliza mtu wa tatu, maana kama unashindwa kumsikiliza mtu wako na kuheshimu anachokwambia inakuwa vipi unasikiliza mtu wa nje! ..

sijazoea kuomba msamaha kwasababu sijazoea kumkosea mtu. Inapobidi huwa nafanya hvyo ila hadi niridhike kosa ni langu, kama umechangia kwenye hilo kosa msamaha utauomba wewe aisee.
dah Husninyo umenikumbusha mbali na sasa kuna kitabu cha Danniel Steel nakisoma mdada anayeomba msamaha hata kwa makosa yaso yake!! Kama nakuona ulivyo mbishi aisee!

Hii nimeipenda nimekuletea na kitenge cha soso
dear kuna batiki la nigeria nimekuletea pamoja na viatu..... Halafu nina h..u ile mbaya!! Akiingia line mchezo umekwisha..... Unajua makabila mengine haturuhusiwi kumwambia mwanamke nimekosa na ukibainika unatengwa!!

dah Husninyo umenikumbusha mbali na sasa kuna kitabu cha Danniel Steel nakisoma mdada anayeomba msamaha hata kwa makosa yaso yake!! Kama nakuona ulivyo mbishi aisee!

tatizo hawa wanaume ukijifanya mnyonge mnyonge anataka akupande kichwani.
Kuna rafiki yangu ni bingwa wa kuomba msamaha kwa makosa ambayo mengine sio yake kabisa... Natamani niwe nampiga makonzi. Lol!

msahama unategemea na kosa ila ukweli kuna misahamaha ya mauzi na misamahaya ya furaha kwahiyo inategemea na kosa

Kwani D.A hupendi kufa..?
Ndo maana nilisema mimi hupeleka Wax la Nigeria (Original) then naomba mchezo kwisha habari... Na siku hiyo mechi ikikubalika Performance ni 100%....

Umeongea hivi unapenda ice cream au pipi??/ Nidai

Huwa napenda amani initawale katika mazingira ninayoishi na watu ninaowajali..Pale nilipo/ninapokosea sisiti kusema samahani!!.

nshakwambia yaishe, aaah, watu wenye gubu utawajuwa tu, mi naenda kufanya kazi zangu.

Wanajf n vchwa,yn ht km m2 ulikuwa seriaz unacheka..only sayin am sor with feelingz aaah inaonyesha kwel ulikosea even kna wngn hawaelew hta!

Wanajf n vchwa,yn ht km m2 ulikuwa seriaz unacheka..only sayin am sor with feelingz aaah inaonyesha kwel ulikosea even kna wngn hawaelew hta!

Vaislay hebu andika vizuri bana wengine sie wazee hatuelewi lugha kama hizi. Ombi tu lakini

Similar Discussions

Back
Top Bottom