Saying I am Sorry......

...samahani, nimekosa naomba unisamehe ewe soulmate kipenzi cha rohoni mwangu...
Akileta madeko najua anahitaji kwenda lala huyo
Udugu wa shuka.
 
...samahani, nimekosa naomba unisamehe ewe soulmate kipenzi cha rohoni mwangu...
Akileta madeko najua anahitaji kwenda lala huyo
Udugu wa shuka.

Ah pale msamaha unapokuwa mistaken na "the need" we Mbu wewe?? kuna siku huyo Soulmate wako akichukia hata "Bibi" hatofunguka shauri yako!! Jifunze kubembeleza ohoooo!!

Ha ha MJ1 bana....unanilazimisha niombe msamaha? Siombi sasa tuone utanifanya nini

Hahahah DA bana usiwe mbishi hakuna kitu kizuri kama kuomba msamaha.....mwenzenu napendaga kulia kweli ili nibembelezwe!!

afu nimekumiss sana ujue!
 
Ah pale msamaha unapokuwa mistaken na "the need" we Mbu wewe?? kuna siku huyo Soulmate wako akichukia hata "Bibi" hatofunguka shauri yako!! Jifunze kubembeleza ohoooo!!

...lol...mwj1 nitakualika uwe volunteer kwenye rehearsal ya kuomba msamaha... Hapo tu ndio utajua msamaha wa mbu unakubalika au la...xoxo
 
Aah bwanaye usiminde jambo dogo tu unalikuza mbona glass kabatini hugomgana sembuse mimi nawewe!
 
Aah bwanaye usiminde jambo dogo tu unalikuza mbona glass kabatini hugomgana sembuse mimi nawewe!
mapujds hahah eti usimind wakati c ajabu ni kitu cha kukera haswa!

Ila wanaume wengine huuchuna tu, utanuna atajifanya hakuoni mpaka utaachia mwenyewe
 
...lol...mwj1 nitakualika uwe volunteer kwenye rehearsal ya kuomba msamaha... Hapo tu ndio utajua msamaha wa mbu unakubalika au la...xoxo
I hope utanialika pia akileta madeko haha c utarehease hata hiyo part ya "undugu wa shuka"? Lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
<span style="font-family: comic sans ms"><font size="4">Jambo dogo tu imekuwa nongwa, ........... kwani wewe huwa hukosei?</font></span>
hahahah hii nayo ipo sana kaka yaani hapa unalazimishwa kusamehe huku haki yako ya kuombwa msamaha ikibakwa!....eti kwani wewe huwa hukosei!!
 
Hahahah DA bana usiwe mbishi hakuna kitu kizuri kama kuomba msamaha.....mwenzenu napendaga kulia kweli ili nibembelezwe!!

afu nimekumiss sana ujue![/QUOTE]

Mie siombi msamaha labda siku yangu ya mwisho ndo nitafanya hivyo kisa nini bana khaaa!!!! Acha kabisa unaomba msamaha mtu yeye kwanza akikosea anakugeuzia kibao namimi siku hizi kimya tena nafanya na makosa makusudi ili imuume zaidi.

Jibu PM basi wewe
 
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................

Kuna hii...................

My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that

Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!

Au............

Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!

Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.
Daaaa are the true touchng rylics...lakini nazan maneno au neno lolote ni jema wat matters ni namna ya uwasilishaji wa ilo neno liendane kikweli kweli na midomo yako unavyomung'unya,pia macho yamaanishe,na kikukbwa how much love and touchng feeling u put inside thoz words ndiyo jambo la mcng zaidi...wat am trnyng to say speak from ur trul dpu feelings...eventually ur thouts itapokea the same...ivo uwasilishaj wa mwili kama utamkaj ni third pat ambayo olwys upokea kilichopo ndani ya mtu...aksante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom