MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Kuondoa confusion, unaweza kuleta direct quotes hapa? JF ina records zote, quote tu, sema uliandiuka hivi, umeulizwa hivi, hujajibu.
Mimi nikiamua kurudia posts zangu kuorodhesha maswali ambayo umeyakimbia bila kuyajibu utapata aibu hapa.
Astakafulah, kumbe weye una short memory! Yaani unadai kuwa hukusema hayo, pinga kwanza halafu nikutoe nishai mbele ya kadamnasi hapa JF.