MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
What you are saying is the gist of my problem. Kwa nini mungu aruhusu maumivu na majaribu in the first place?
?
Wapi panasema Mungu karuhusu? Stop talking junks. You need a shrink.
What you are saying is the gist of my problem. Kwa nini mungu aruhusu maumivu na majaribu in the first place?
?
Huwezi kuwa na supreme beings wawili, definition ya god ni supreme being muumba wa vyote, sasa kati ya hao wawili wako, nani kamuumba mwingine?
Kwa nini kuwe na vishawishi to begin with?
Kwa nini mzazi (mungu) umuwekee mtoto wako mchanga (binadamu dhaifu) sumu (mabaya) na maziwa (mema) achague wakati unaweza kumuwekea maziwa (mazuri) tu?
kwa nini mungu karuhusu ubaya uwezekane?
Kwa nini unasema huo mfano sio sawa?
Bogus questions.
Hakuna cha maana hapa.
Kwanini sayansi lishindwa kugundua kuwepo kwa hii sayari miaka kibao iliyo pita? Weye ndo wale wanao sema Christopher Columbus ndie aliye discover Jamaica wakati Jamaika ilikuwa teyari ina watu.
ASTAKAFULAH.
Pray tell, why is the question bogus?
tafadhali jibu maswali ya kiranga! kwanza .. kabla hujajibiwa yako..
Why has God's existence created so many problems for philosophers?
Why has God's existence created so many problems for philosophers?
Because it is a contradiction.
On the one hand god has unparalleled love and power.
On the other, he created a universe with evil.
On the one hand he is supposed to know all our lives even before we are born, in essence predestining our existence.
On the other, we are supposed to be responsible for our action.
Contradictions left right and center.
sometimes mimi namchukulia mungu ni kama imaginary friend ! created by ( we ) humans ...
Kwanini sayansi ilishindwa kugundua hiyo sayari muda kitambo. Nafikiri hili ni swali la msingi, kabla ya kukurupuka kwenu.
Kwanini sayansi ilishindwa kugundua hiyo sayari muda kitambo. Nafikiri hili ni swali la msingi, kabla ya kukurupuka kwenu.
Kwa sababu sayansi inajenga knowledge base yake step by step. Sayansi haijidai kujua kila kitu, inajenga knowledge base yake step by step.
On the other hand, dini inajidai kuwa mungu anajua kila kitu, wakati agano la kale - kitabu cha mungu supposedly- kinatupa picha ya jua linalozunguka dunia.
Hivi mungu hakujua kwamba jua halizunguki dunia bali dunia ndiyo inayozunguka dunia?
sasa mkuu swali lako ni bogus .. sababu science always kunakuwa na a lot of room for new knowledge .. mfano kesho science igundue kuna sayari maili kadhaa chini ardhi utahoji kwa nini hawakundua miaka iliyopita
Mkuu kiranga toka jana nilikuona kwenye topic ya rafiki yangu VOR iliyokuwa inaongelea kifo na mungu, kwenye maelezo yako ya leo hapa haKama mungu yupo, ana nguvu zote, upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaachia watoto maskini wa KiHaiti wafe en masse huko Haiti kwenye tetemeko la ardhi?
Ina maana hakuwa na uwezo wa kuwaokoa, la hasha, tushasema ana uwezo wote.
Ina maana hakupenda tu kuwaokoa, la hasha, tushasema ana upendo wote.
Sasa kwa nini hakuwaokoa basi?
Hakuwaokoa kwa sababu mungu huyu hayupo, ni character wa kutungwa kama katika hadithi za kufikirika.
Mimi binadamu ambaye sijafikia hekima yote na upendo wote nishajua kwamba nikiwa na uwezo wa kuwaokoa watoto wasio hatia nitawaokoa, seuze mungu mwenye upendo wote na uwezo wote?
How bogus is my question?
Ndio maana nikakuuliza Christopher alipo fika Jamaica, ndie yeye aligundiua Jamaica?