Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

tatizo nimempenda mtu ambae hakuna namna nitaweza kuonana nae au kupata namba yake au kumfikia na aknisikiliza
 
Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k
Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za kuonyesha huyo mpenzi wako 'fake' anavyotesa moyo wako.

Iwapo huyo mpenzi mtarajiwa akijibu meseji kukuambia umekosea namba, we sema hujakosea namba na jitahidi kuthibitisha hiyo ni namba ya huyo uliyetaka kumtumia. Baada ya hapo, ni uwanja wako wewe wa kumuweka karibu na kuweka mazingira ya kufahamiana zaidi; pamoja na kulana kimasihara.
Poor method , una mbinu za kitoto sana tena level ya vidudu
 
Hapo anatongozwa na wanaume 6 anao wajua..
Wew asie kujua atakuweka akilini saa ngap?

Sema nin mademu wa bongo wajui kusoma tabia za wanaume.
 
Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k
Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za kuonyesha huyo mpenzi wako 'fake' anavyotesa moyo wako.

Iwapo huyo mpenzi mtarajiwa akijibu meseji kukuambia umekosea namba, we sema hujakosea namba na jitahidi kuthibitisha hiyo ni namba ya huyo uliyetaka kumtumia. Baada ya hapo, ni uwanja wako wewe wa kumuweka karibu na kuweka mazingira ya kufahamiana zaidi; pamoja na kulana kimasihara.
NAIKUBALI HII KIMTINDO,ishawahi nipatia demu mtamu kisa tu alikosea meseji ya kwenda kwa bwana wake ikaja kwangu. baada ya kujirudia rudia sana kwa hizo meseji ikabidi nimuombe tuonane nione huo utamu anaolalamika ili hali jamaa yake hamthamini,basi nikanasa mtegoni kwake nikamla kama mara tano hivi.... SO,naamini hii mitandao siku hizi ukibugi tu,unaliwa
 
Inawezekana yeye ndio alipanga iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom