Sayansi ni zaidi ya dini; Corona yathibitisha

Sayansi ni zaidi ya dini; Corona yathibitisha

Mwezi uliopita waziri wa afya huko israel alinukuliwa akisema "corona ni pigo kutoka kwa mungu kwasababu ya homosexual"

Juzi hapo amepimwa na kukutwa na maambukizi ya corona ambayo amesababishiwa na mke wake

TB JOSHUA naye alisema ameongea na Mungu ameambiwa kua corona itaisha mwezi wa 3 tarehe 27, Angalau huyu anaweza kukwepa lawama kwasababu hakutaja mwaka

It's Scars
 
Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.So Mungu yupo ndani yetu na nguvu zake ziko ndani yetu.Kuna wakati anatushangaa mambo madogo tu yanatushinda mpaka tumkimbilie yeye Tena, Corona iko chini ya uwezo wetu na magonjwa mengine yote.Alichobakiwa nach yeye ambacho kipo juu ya uwezo wa mwanadamu Ni kifo tu.Tuache kulialia nafasi yetu ni kubwa iko siku tutaulizwa kwa kushindwa kwetu kutumia mamlaka tuliyopewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom