Sayansi inamthibitisha Membe?

Sayansi inamthibitisha Membe?

kilombero yetu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
117
SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?

reserch za kisayansi zinathibitisha
na watu wengine maarufu zaidi duniani;
je unajua kuwa kati ya marais 7 wa marekani wa 5 wanatumia mkono wa kushoto?
1.MEMBE
2.UHURU KENYATA
3.OBAMA
4.ARISTOTLE
5.BILLGATES
6.OPRAH WINFREY
7.PRINCE CHARLES
8.PRINCE WILLIAM
9.ANGELINA JOLIE
10.CELINE DIONE
11.JUSTIN BIEBER
12.BILL CLINTON
13.W G. BUSH

je nikipaji kwa Mh Membe kwenda ikulu?
kuwa aliongoza mkoa wake kidatu cha nne!!
na tabora kidato cha sitta kwa daraja la kwanza!!

vipi mtaani kwako tabia za watoto wanaotumia mashoto?
Top 10 Lefties | TIME
time.com/3107557/top-10-lefties/
 
Attachments

  • membe left.jpg
    membe left.jpg
    14.2 KB · Views: 689
  • marais wa marekani.PNG
    marais wa marekani.PNG
    142.6 KB · Views: 679
  • obama1.jpg
    obama1.jpg
    3.6 KB · Views: 1,747
  • kenyatta.jpg
    kenyatta.jpg
    11.8 KB · Views: 631
sio ulemamvu huu kweli maana hili ni tatizo tayari wala usitudanganye hapa jukwaani
 
yaan apewe urahis kisa anatumia mkono wa kushoto?! basi mie mnipe urais maana natumia mguu wa kushoto kuandika, hahahahaa!
 
Atupe chenji yetu ya rada kwanza, yeye alipokabidhiwa ile pesa hatujui iko wapi na achosema itafanya hatujaona hata kimoja na michango tunaendelea kuchangishwa. Kwa uraisi HAFAI KABISA kwani anapinga pesa za uswizi zisichunguzwe.
 
sio ulemamvu huu kweli maana hili ni tatizo tayari wala usitudanganye hapa jukwaani
Baba yangu mzazi alikuwa anatumia mkono wa kushoto. mkono wake wa kushoto ndio ulikuwa na nguvu kuliko wa kulina na hata kukata kitu, kuandika alikuwa anatumia mkono wa kushoto, nafikiri angefaa kuwa rais kama ndio hivyo.
 
SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?
Watu kama ninyi ndo mnaofanya tuonekane race ya Kiafrika kichwani ni sifuri.....hivi huwa mnawaza nini kuandika makorokocho haya,ni UPUUZI wa hali ya juu,mkiambiwa na wazungu hamna akili mnang'aka..KERO SANA
 
Ooops! Mie nkafikiri kuwa Membe kapimwa na ikathibitika "kisayansi" kuwa anaakili nyingi. Hapo hapo nkazani kuwa na "wagombea wengine" nao wamepimwa IKATHIBITIKA kuwa "Maembe ana akili nyingi kuwaliko!" Kumbe..... Hii kwenye falsafa (kwa Kiingereza) wanaitaga falasi!.... na kwetu waswahili huita Pumba. Anaeitoa tunamwitaga IPP, yaani, International Pumba Producer..
 
SAYANSI INATHIBITISHA KUWA BERNARD MEMBE NI MGOMBEA MWENYE AKILI ZAIDI,ANAEFIKIRI SANA NA HARAKA KULIKO WAGOMBEA WENGINE ?
JE NI KWELI ?
kwa kuwa ni yeye pekee anaetumia mkono wa kushoto,na wengi wanaotumia mkono huo wamebarikiwa vipawa?

reserch za kisayansi zinathibitisha
na watu wengine maarufu zaidi duniani;
je unajua kuwa kati ya marais 7 wa marekani wa 5 wanatumia mkono wa kushoto?
1.MEMBE
2.UHURU KENYATA
3.OBAMA
4.ARISTOTLE
5.BILLGATES
6.OPRAH WINFREY
7.PRINCE CHARLES
8.PRINCE WILLIAM
9.ANGELINA JOLIE
10.CELINE DIONE
11.JUSTIN BIEBER
12.BILL CLINTON
13.W G. BUSH

je nikipaji kwa Mh Membe kwenda ikulu?
kuwa aliongoza mkoa wake kidatu cha nne!!
na tabora kidato cha sitta kwa daraja la kwanza!!

vipi mtaani kwako tabia za watoto wanaotumia mashoto?
Top 10 Lefties | TIME
time.com/3107557/top-10-lefties/

Nonsense. Mh Membe atakuwa amefanya kosa kubwa sana
kama amekuchukua wewe kuwa campaign manager wake...
 
​nilishawahi sikia hili....ila kwa MWEMBE nadhani alipata bahati mbaya mana hana sifa za kuongoza
 
Watanzania kweli mnaupeo mdogo.
Mbna kuna wengi tumesoma na tunasoma wametumia na wanatumia kono la kushoto ila darasani ni slow learner tuuu.
Msiishi kwa kukariri nyie.
Huyo membe udhaifu wake ni bora ya dhaifu mwenzie jeyke
 
Kuna niliyemaliza naye f.six mahali miaka ya tisini akitumia mkono wakushoto,alizungusha keep left(round about).Huyu hiyo sayansi haikumfeva?
 
wakati niko primary, mtu aliyekua anakua wa mwisho darasani for four years alikua anatumia mashoto

Ukiwa na ID nzuri kama Kilombero yetu, halafu unaleta utumbo kama imbecile inakera sana

You need to up your reasoning... hebu imagine hata angelina jolie nae unamuweka kama mtu mwenye akili sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom