Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Pole zako nyingi chezeya kupenda na kupendwa.

Last edited by a moderator:
Ahsanteni wapendwa kwa poleh na faraja zenu,am comforted kiasi fulani, mana kiukweli maumivu haya namuambia Mungu na nyie tu,mhusika ndo angekuwa ananibembeleza kupunguza stress ila ndo hvo sidhani hata kama anajua naumia hivi mimi
 
Love is not how you forget but how you forgive.not how you listern but how you understand.not how you let go but hold on and that is what we call true love. So hold mdogo angu
 
Mimi mwezi uliopita nilipiga kibuti kwa staili hii..Limwanamke lenyewe omba ombaaaaaa..Eti nimetoka kwenye msiba linaomba hela...Liliishia kunisikia kwenye bomba.
Ila wewe kama kakuacha huna kosa kafanya vibaya ingawa nina mashaka sana.!
 
mh pole dia.

wanasemaga upendo wa kweli ndo hata hufutiki,kama wako wako tu,kama sio utapata wako,usijichoshe sweetie
 
when one door is closed another one is opened for you. songa mbele huwez jua mungu kakuepushia balaa gani
 
Mimi mwezi uliopita nilipiga kibuti kwa staili hii..Limwanamke lenyewe omba ombaaaaaa..Eti nimetoka kwenye msiba linaomba hela...Liliishia kunisikia kwenye bomba.
Ila wewe kama kakuacha huna kosa kafanya vibaya ingawa nina mashaka sana.!

mi sio omba omba,napata shida sana kuomba mwanaume hela,..maybe kosa lipo but sijui nilipokosea,nimejitahidi kumuonyesha yaliyokuwa moyoni mwangu and i gave up other people for him
 
pole sana mrembo,mambo ya kawaida hayo usikonde utampata mwingine mtaependana zaidi bt I lov u sana
 
Usijali mpenzi hayo ni mapito kila mtu yanamkuta simama na songa mbele! Ipo siku atakuja mwingine ambaye atakupa raha
 
Pole relax utampata atakae kufanya ushau na maisha utayaona matamu tu zaidi ya hapo tulia usiwe kama umukagame wiki mbili kesha pata mabwana wawili tena wengine ndugu wa x wake!
 
Last edited by a moderator:
badiebey naelewa unajisikiaje...ila ndo maisha yalivyo move one
 
Last edited by a moderator:
Ni pm tuongee nikupunguzie maumivu. Mie nitakufariji nimekuona unajua kupenda
 
mi sio omba omba,napata shida sana kuomba mwanaume hela,..maybe kosa lipo but sijui nilipokosea,nimejitahidi kumuonyesha yaliyokuwa moyoni mwangu and i gave up other people for him

"napata shida sana kuomba mwanaume hela"

Nimeipenda hiyo phrase hapo juu, bilashaka ww ni binti wa pekee sana ktk karne hii.

Pole mdogo/dada yangu badiebey...just let him go, kama u were meant to be together atarudi tu, but if u were not, haitakaa mrudiane.

Kama una nafasi week end ijayo u can join me, ntaenda Zanzibar ijumaa na kurudi jumapili, unaweza kuja na rfk yako yoyote wa kike nitawa-sponsor ila usiogope-no strings attached. Haka kasafari kanaweza kukusaidia usahau machungu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona maumivu yanazidi sana ujue raha zaidi inakuja si muda mrefu. Kila apendaye alishaumizwa. Utapata wako. Serious ni pm nitakufariji japo tuonane tuongee. Njoo kwangu mama
 
mi sio omba omba,napata shida sana kuomba mwanaume hela,..maybe kosa lipo but sijui nilipokosea,nimejitahidi kumuonyesha yaliyokuwa moyoni mwangu and i gave up other people for him

Basi pole sana dear..me mwezi uliopita nilikuwa disappointed sana kwa mpenz wangu eti aliniomba hela huku akijua nimefiwa na nimetoka kwenye msiba wala ofisini sijaenda..Kiukweli nilimuacha kimya kimya na tarehe 10 mwezi huu ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa nikampotezea..Namchukia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom