Wadau wa JF za jioni,
nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa...japo cha kimya kimya,nimejiongeza kusoma alama za nyakati ,na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu....
Nishamuweka moyoni,i loved every moment,inaniuma sana alivojikata polepole mana text,simu hazijibiwi na watsap namuona ...kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu...
Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi...
Maybe kuna sehemu nilikosea,najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu,mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi,watanicheka,ndugu watanishangaa,bora hapa siwajui hamnijui........
Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi....ila naumia jamani dahh.,mana i took sometime,natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena,
Ukipita niachie japo a comforting word,au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.....