Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Unconditionally Bae[emoji173] [emoji173]
Dedication kwa bby wangu huko uliko.
 
tatizo mashabiki wa kiba ndugu nyie jaribuni kumshauri sio kumsifia tuu hii nyimbo alitakiwa ndio anayamiliki yeye sio yeye kushirikishwa yeye hapo mtamsifia tu lakini ukweli ukija kwenye nyimbo zake mwenyewe mbona hawi creative to that extent...msikae mumshindanishe na domo,domo yeye ni business oriented yeye ana deal na market ali kiba hayupo huko.......msikae mumshindanishe na domo mnapoteza muda tuuu
 
Kipaji ni kipaji tu alivyoanza na alivyomalizia utafikiri wimbo wake kumbe ni wa saut sol jamaa ameua mbaya
 
Kiukweli vidio kama movies haipendezi nimeipenda vidio ya lupela ni ubunifu wa pekee yake
 
Kwangu video kali, beats za kawaida sana, vocals kiba kaimba fresh ila wenyeji wake wameboronga, dansing iko very catchy!
 
diamond ni business oriented mnamfananisha na kiba???kiba haendani na market diamond anatoa nyimbo kulingana na market inahitaji nini,kiba hajui nyimbo hii atoe muda gani hii atoe muda gani,tatizo ni kukosa washauri wazuri,washauri wake ndo walewale kila siku ni kumuinfluence akae kushindana na diamond kutwa kucha si ujinga huo.......
 
Hiyo ngoma kali sana itasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…